Mama mkwe amefanikiwa!

Hata ungekuwa wewe ungechukua mdogo mtu manake ni msichana mwenye sifa za kutosha kuolewa kasoro hii ambayo ilkijificha ya udokozi!!!!

Unadhani watu wote tuna ubongo ulioganda kama wewe?
 
Andika barua ya napenzi kwa mamake ukimshukuru kwa denda na mechi kali iliyopita ukuomba mechi ya marudio. Mwachie mfukoni shangaike nayoo.
 
hiyo familia nuksi sana...siyo ya kuoa hata kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…