Yaani huyu mama huwa nikiona harakati zake nafurahi mno nakiwa nawaza hivi mke wangu kwa nn haniungi mkono kama huyu? Huyu mama ni kielelezo cha nn maana ya mke!
Yaani huyu mama huwa nikiona harakati zake nafurahi mno nakiwa nawaza hivi mke wangu kwa nn haniungi mkono kama huyu? Huyu mama ni kielelezo cha nn maana ya mke!
Umeona itabidi aje kukusaidia kushikilia hiyo mikungu ya ndizi na kusukuma baiskeli kwa nyuma.All in all,kwenye kila mafanikio ya mwanaume yawe ni mafanikio chana au hasi nyuma yake kuna mwanamke.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa Tegeta waliojitokeza kumpokea wakati akielekea kwenye mkutano wa kampeni wa jimbo la Kawe uliofanyika viwanja vya Bunju.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa mkutano wa Bunju A.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu wa Rais Dk. Ghalib Bilal kabla ya kuhutubia wakazi wa Kawe waliojitokeza kwenye mkutano wa kampeni za CCM zilizofanyika kwenye viwanja vya Bunju A.
Wananchi wakishangilia wakati wa mkutano wa kampeni za CCM Kawe.
Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba akihutubia kwenye mkutano wa kampeni za CCM wa kumnadi Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli uliofanyika kwenye viwanja vya Bunju A.
Wakazi wa Kawe wakiwa juuu ya paa la nyumba wakati wa mkutano CCM wa kumnadi Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Kawe kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye viwanja vya Bunju A.
Wananchi wa Kawe wakimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea wa Ubunge jimbo la Kawe Kippi Warioba kwenye mkutano wa kampeni za CCM zilizofanyika viwanja vya Bunju A.
Yaani huyu mama huwa nikiona harakati zake nafurahi mno nakiwa nawaza hivi mke wangu kwa nn haniungi mkono kama huyu? Huyu mama ni kielelezo cha nn maana ya mke!
mkuu mimi silipwi... Nina imani ya dhati na mabadiliko kutoka moyoni hali ya wilaya yangu ya rufiji ccm imetusahau, hakuna bara bara nzuri, mto tunao maji taaabu, kilimo kwanza hakuna trekta hata la kata, hospitali ni km 50. Hivyo edit kwa faida ya nani mkuu?
But huwezi kulazimisha watu watembee kwa miguu kama wewe kwasababu tu huna gari, kama gari ni hoja hatujawahi sikia ukawa wamepanda uda hizo. Mapenzi hutangualia hivyo vingine ni nyenzo tu.