Alikua ana sali sana, kwenye dini ipi?
Si alikuwa mwimba kwaya marehemu, jamaa alitoka kwenye familia ya kidini, na kweli kanumba alikuwa yupo tofauti sana na vijana wengine, alikuwa na HEKIMA sana na heshima kwa kila mtu, na ndio maana alifika mbali, hayo mambo mengine ni ya kibinadamu, ila kanumba alikuwa anamjua sana Mungu
Hata Diamond akifa mtasema hivi hiviiii
Nilikuwa namuona marehemu kwa jicho la kitofauti sana, alikuwa mstaarabu sana hilo linajulikana mbona, alikuwa sio mtu wa anasa kihivyo na mashauzi alikuwa hana na ndio maana Daima atakumbukwa, huyo ndomo atakumbukwa kwa ubunifu wake tu ila sio kijana mwenye maadili kama kanumba
kwahiyo mpaka sasa bongo movie hakuna aliyefikia level za kanumba?
kanumba alikuwa mtunzi,ila hawa wa sasa story za uchawi na mapenzi tuHakunaa
kanumba alikuwa mtunzi,ila hawa wa sasa story za uchawi na mapenzi tu
Anaekufa husifiwa tu hata we ukifa utasikia wanakana kua warumi hakua mbea kabisaaaa
Hakunaa
Ahahahahahahahahaahahhhahajajaaajjahahahaaahahahahah
Binamu leo umeniweza, watasema warumi hakuwa mbea alikuwa anasema kweli kabisa, hahahaaha hahaah chezeya
Halafu binamu najiulizaga kweli, ivi mimi nikifa jamii forum itajua? Itajuaje? Naumizaga kichwa kweli, naona wengine member wakifa watu wanajua
Alikuwa anasali sana,siku moja akiwa katika maombi na mwanamaombi mwenzie akatereza akajipiga kichwa ukutani,inasemekana alitumia maji mengi ya baraka mengine yalimwagika akatereza.....