VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Ulipaswa uwepo hapa Dodoma. Wewe sasa ni First Lady.Leo ilikuwa siku muhimu kwa Rais na kwako. Wakati wa kampeni ilikuwa sawa kutoambatana na Mh. Rais. Si wakati huu.
Ingependeza ungeambatana na Rais Magufuli kama wengine walivyofanya. Ulikuwa wapi? Yawezekana wanafunzi wako walikutinga leo? Nimekuulizia tu Mama!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
Wewe ni miongoni ya Bavicha wajinga wajinga...Ulipaswa uwepo hapa Dodoma. Wewe sasa ni First Lady.Leo ilikuwa siku muhimu kwa Rais na kwako. Wakati wa kampeni ilikuwa sawa kutoambatana na Mh. Rais. Si wakati huu.
Ingependeza ungeambatana na Rais Magufuli kama wengine walivyofanya. Ulikuwa wapi? Yawezekana wanafunzi wako walikutinga leo? Nimekuulizia tu Mama!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
Ulipaswa uwepo hapa Dodoma. Wewe sasa ni First Lady.Leo ilikuwa siku muhimu kwa Rais na kwako. Wakati wa kampeni ilikuwa sawa kutoambatana na Mh. Rais. Si wakati huu.
Ingependeza ungeambatana na Rais Magufuli kama wengine walivyofanya. Ulikuwa wapi? Yawezekana wanafunzi wako walikutinga leo? Nimekuulizia tu Mama!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
yupo kwake kwani vipi ? uwepo wake ulikuwa wa lazima bungeni..?
Magufuli yuko kazini wife yuko na familia...mbona hujaulizia familia yake yote
Hapana mkuu, si mjukuu wake wa damu. Hata msibani alikuwa anaenda na kuondokaHuyu mama amefiwa na mjukuu juzi tu huwezi jua inawezekana yuko na bintie.
Kwani ana kichanga??? Hujaona pinda kachukua mpk watoto???