Jamani habari zenu!Naomba ushauri wenu jamani mm ninataka kumuoa binti mmoja ambae alikuwa beki tatu wetu zamani ila mother wangu hakubaliani na mm ila mm nampenda sana na kwa moyo mmoja na nimemuahidi nitamuoa.Sasa nifanye nn kumshawishi mother amkubali Nisaidieni jamani.
Thats it bra...Ungekuwa umeeleza sababu za mama yako kumkataa ingekuwa rahisi kukushauri lakini kwa sasa ni vigumu kujua kwa nini mama anakataa,wazazi huwa na sababu za msingi sana wakati mwingine sio vizuri kuwapuuza,jaribu kumuuliza kwanza kabla hujafanya lolote!