Mama alinifundisha nikiwa mezani nakula nifunge mdomo

ngaiwoye

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
1,749
2,437
Ndo desturi yetu watanzania na waafrika kwa ujumla, kufungua mdomo wakati wa kula ama kutafuna. Ni nadra sana utamkuta mtanzania anatafuna huku akiongea, huyo labda atakuwa anatafuna big g au karanga za jero. Lakini banzoka japo ndogo ni tamu hiyo atamumunya na ataufunga mdomo..

Nimeamka asubuhi hii katoto changu kananiambia Jana hamu na pipi nikakaangalia nikacheka. Nataka nikanunulie Ili kasinipigie makelele katulie..

NB: nawaza mkosoaji akikaribishwa kwenye tume ya mipango bado ataongea?? Kuna mmoja alipewa karamu kule uswidi (nchi za scanavia) alinyamaza mpaka alipomaliza kula dinner Ile.

Halafu mama wale wema washachafuliwa taswira Yao sana na walaku hivyo hata wakifanyiwa vetting wataonekana hawafai (Yani walivikwa sifa mbaya ambazo SI zao)
 
Mimi alinambia kujitenga na Anasa za ngono hela yoyote nikipata Nile vizuri hasa maziwa na maini .na Coca-Cola ili nisijute kuzaliwa
 
Back
Top Bottom