Inabidi ipatikane io, hivi vipara kwa vijana sioDaah! Hapo kwenye Dawa ya Kuondoa kipara kwa wanaume alitisha sana.
Tisha sana mkuu[emoji109][emoji109][emoji109]Cleopatra alipiga vitabu hasa hivyo alikia mjanja sana alikua mzuri kweye diplomasia, Alianza kutumia kila mbinu kuikuomboa nchi yake Misri kutoka kwa Warumi.
Chakwanza alianza kujipendekeza kwa bedui Julio Caesars akamdanganya dangaya Dikteta kashikika wakawa wapenzi mzee baba Kaisari akawa anajilia Mtoto mzuri with Classy Cleopatra. Hadi siku Caesars anachomwa visu na maseneta wake Cleopatra alikuwepo ikulu Roma wengine wanasema nae alishiriki kwenye njama za kumuua Julio Caesar ila uhusiano wao ulileta mtoto wa kiume aitwae Caesarion ambae nae alikuja kuwa mtawala wa Roma (?).
Bado mwanadada aliendelea kutumia uzuri wake kuwapagawisha viongozi wa rumi ili kutafuta jinsi ya kuikomboa nchi yake.
Cleopatra kazama mapenzini na Marcus Antonius (Mark Anthony) yaani walipendana hadi Mark akamuacha mkewe Octavia amabe alikua dada wa Octavian/Agusto.
Mark Anthony akaagizwa aende misri kudai ile kodi ambayo watawala wamisri wanatakiwa wailipe Mark alipofika huko akazama penzini kwa Clepatra. wanakwambia Cleopatra alitumia mwaka mzima kula bata la nguvu (Luxury) na mpenzi wake Mark Anthony huku wakiwaacha wamisri/wananchi kwenye ufukara wa kiwango cha kabisa. Hawakuiahia hapo tu Mapenzi yaliwatuma kwamba ili wawe huru na penzi lao inabidi waivamie Roma waipige na kuichukua waendeleze kula bata la penzi lao.
Kule Roma taarifa zikamfikia Kaisari Agusto yaani aliyetumwa pesa kapewa penzi kanogewa kasahau kurudi lakini hajaishia hapo anapanga mbinu za kuvamia wenzake-Nchi yake kwa shinikizo la mapenzi/penzi la Cleopatra. Kaisari akaona dharau akatuma majeshi yakaenda misri yakagawa kichapo cha nguvu...Yaani Cleopatra na Mark walichapwa hadi wakakimbia wakajifungia ndani wakanywa sumu na kujiua. Octavian/Augusto alifika mwenyewe Alexandria na kuitawala hakuishia hapo kwa hasira alichoma ile Library/maktaba ya kwanza kujengwa duniani akaunguza kila kitu.. Ila hakua mjinga jamaa alibeba maarifa makubwa/Vitabu akahamishia Roma.
Mbona wanasema aligongwa na NyokaCleopatra alipiga vitabu hasa hivyo alikia mjanja sana alikua mzuri kweye diplomasia, Alianza kutumia kila mbinu kuikuomboa nchi yake Misri kutoka kwa Warumi.
Chakwanza alianza kujipendekeza kwa bedui Julio Caesars akamdanganya dangaya Dikteta kashikika wakawa wapenzi mzee baba Kaisari akawa anajilia Mtoto mzuri with Classy Cleopatra. Hadi siku Caesars anachomwa visu na maseneta wake Cleopatra alikuwepo ikulu Roma wengine wanasema nae alishiriki kwenye njama za kumuua Julio Caesar ila uhusiano wao ulileta mtoto wa kiume aitwae Caesarion ambae nae alikuja kuwa mtawala wa Roma (?).
Bado mwanadada aliendelea kutumia uzuri wake kuwapagawisha viongozi wa rumi ili kutafuta jinsi ya kuikomboa nchi yake.
Cleopatra kazama mapenzini na Marcus Antonius (Mark Anthony) yaani walipendana hadi Mark akamuacha mkewe Octavia amabe alikua dada wa Octavian/Agusto.
Mark Anthony akaagizwa aende misri kudai ile kodi ambayo watawala wamisri wanatakiwa wailipe Mark alipofika huko akazama penzini kwa Clepatra. wanakwambia Cleopatra alitumia mwaka mzima kula bata la nguvu (Luxury) na mpenzi wake Mark Anthony huku wakiwaacha wamisri/wananchi kwenye ufukara wa kiwango cha kabisa. Hawakuiahia hapo tu Mapenzi yaliwatuma kwamba ili wawe huru na penzi lao inabidi waivamie Roma waipige na kuichukua waendeleze kula bata la penzi lao.
Kule Roma taarifa zikamfikia Kaisari Agusto yaani aliyetumwa pesa kapewa penzi kanogewa kasahau kurudi lakini hajaishia hapo anapanga mbinu za kuvamia wenzake-Nchi yake kwa shinikizo la mapenzi/penzi la Cleopatra. Kaisari akaona dharau akatuma majeshi yakaenda misri yakagawa kichapo cha nguvu...Yaani Cleopatra na Mark walichapwa hadi wakakimbia wakajifungia ndani wakanywa sumu na kujiua. Octavian/Augusto alifika mwenyewe Alexandria na kuitawala hakuishia hapo kwa hasira alichoma ile Library/maktaba ya kwanza kujengwa duniani akaunguza kila kitu.. Ila hakua mjinga jamaa alibeba maarifa makubwa/Vitabu akahamishia Roma.
Wee,hujaona mabinti wa kileo wewe,ni hatareeAah wapi[emoji3][emoji3][emoji3]
Cleopatra VII hakua mweusi, alikua ni mgirikiWaafrika tunabakwa sana...Hamjui cleopatra alikuwa mweusi kama Lami?
Sio kweli mkuu, ni vile tu watu walikua wanapenda classy/Status yake as a Pharao of Egypt. Ajili ya cheo cha ssh kuna watu wanamuona ni pisi kali eti🏃🏃Inasemekana alikuwa pisi kali kweli kweli.
Ndivyo wazungu walivyokuambia?Cleopatra VII hakua mweusi, alikua ni mgiriki
Sio wazungu wanavyokuambia, ndo uhalisia wa historia.Ndivyo wazungu walivyokuambia?