Alfu Lela Ulela
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 1,255
- 77
Rais wa serikali ya wanafunzi chuo kikuu cha SAUT Mwanza Bw.Malisa Godlisten amenukuliwa na gazeti la Mwananchi la tar.13/03/2013 kuwa hana mpango wa kugombea ubunge mwaka 2015. Gazeti hilo ambalo lilifanya mahojiano na Malisa na kuandika makala ndefu kuhusu maisha yake ya uongozi, alisema anaweza kufikiria kugombea udiwani nafasi itakayompa fursa ya kugombea umeya wa manispaa ya Moshi. Alisema sababu kubwa ya kugombea umeya ni kutaka kuifanya Moshi kuwa manispaa ya mfano katika maendeleo. aidha aliwaasa wasomi waache kukimbilia zaidi ubunge na wawaze zaidi kufanya mabadiliko katika serikali za mitaa kwanza. SOURCE: MWANANCHI.
moshi bwana kila mchaga anataka kuwa kiongozi kazi ipo
inaonekana sasa hivi siasa ndo njia ya kutoka kimaisha
here we go... Wachagga ni zaidi ya makabila 20 na lunga tofauti 22 sasa sijui unaongelea nini... Umeona wanautaka urais zaidi ya kikwete na benard membe???
Nadhani ya pili ndo sahihi zaidi.Kakataa ubunge?
Au kakataa kutafuta ubunge?
Nadhani ya pili ndo sahihi zaidi.
Kiranga acha kupiga watu matongo!!Naam,
Maana nilivyoona heading nikajua kuna Mtanzania kateuliwa na rais Kikwete kuwa mbunge akaamua kukataa.
Nikataka kujua zaidi.
Kumbe mtumtu tu "kakataa" ubunge kama mie "nilivyokataa" kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa?
Hivi Lowasa anatoka kusini?
Here we GO... Wachagga ni zaidi ya Makabila 20 na lunga tofauti 22 sasa sijui Unaongelea nini... Umeona wanautaka Urais Zaidi ya KIKWETE na Benard Membe???
Rais wa serikali ya wanafunzi chuo kikuu cha SAUT Mwanza Bw. Malisa Godlisten amenukuliwa na gazeti la Mwananchi la tar.13/03/2013 kuwa hana mpango wa kugombea ubunge mwaka 2015.
Gazeti hilo ambalo lilifanya mahojiano na Malisa na kuandika makala ndefu kuhusu maisha yake ya uongozi, alisema anaweza kufikiria kugombea udiwani nafasi itakayompa fursa ya kugombea umeya wa manispaa ya Moshi.
Alisema sababu kubwa ya kugombea umeya ni kutaka kuifanya Moshi kuwa manispaa ya mfano katika maendeleo. Aidha aliwaasa wasomi waache kukimbilia zaidi ubunge na wawaze zaidi kufanya mabadiliko katika serikali za mitaa kwanza.
SOURCE: MWANANCHI.