Mpaka leo takriban miezi saba imemalizika tangu mwaka wa fedha ulioanza mwezi july 2015 hakuna dalili zozote za wastaafu kulipwa mafao yao.Chonde chonde wahusika lipeni madai hayo ili watumishi hao wastaafu wayatumie kwa wakati
Mpaka leo takriban miezi saba imemalizika tangu mwaka wa fedha ulioanza mwezi july 2015 hakuna dalili zozote za
wastaafu kulipwa mafao
yao.Chonde chonde wahusika
lipeni madai hayo ili watumishi hao wastaafu wayatumie kwa
wakati
pspf tunawaomba mtuhurumie.mwaka sasa bila malipo.Hii Ni zaidi ya kituombea tufe.Kama wahusika wa Mzee Magufuli mnapitia huku mwelezeni kuwa wazee wenzake tunapumlia oxygen kimaisha.Kila tukiwahoji kulikoni hatulipwi Jibu Ni kwamba toka April 2015 hawajapata michango toka Hazina.LA Ajabu waliostaafu toka Jan 2015 hatujalipwa huku wa may June hata July wameshalipwa.Napo kuna harufu ya kulipwa baada ya kutoa Rushwa.Mlowasha Karibu huku.Nakukabidhi sehemu ya kuanzia Kabla ya kuwafikisha kwa kamanda wa kutumbua majipu.
Wanajamvi kweli inasikitisha sana nimeona taarifa jana muheshimiwa anapeleka mahela shuleni lakini wastaafu hawaongelei kabisa. Kuna mwl.kastaafu huku mitaa yangu kweli anahangaika kukopa imekuwa kukopa