mbobezi11 Senior Member Joined Jun 11, 2022 Posts 156 Reaction score 121 Jun 20, 2022 #1 Wakuu, Naomba kujuzwa namna ya kufanya malipo ya siku, au wiki katika kisimbuzi cha Azam TV, hasa chaneli za Azam sport HDs, na Gharama yake kwa siku au wiki,
Wakuu, Naomba kujuzwa namna ya kufanya malipo ya siku, au wiki katika kisimbuzi cha Azam TV, hasa chaneli za Azam sport HDs, na Gharama yake kwa siku au wiki,
Abuu Said JF-Expert Member Joined Jul 5, 2015 Posts 4,009 Reaction score 4,773 Jun 20, 2022 #2 Nenda menu ya pesa ya mtandao wako alafu fuata maelekezo