Magari damu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 444
- 779
Ulitakiwa uombe likizo kabla ya kuresign.Habari ndugu zangu
Niko na changamoto kidogo. Nimefanya kazi na shirika X kwa muda wa miezi nane na kwenye mkataba wamesema kutakuwa na siku 28 za likizo ya kulipwa ambazo mimi sijatumia hata siku moja.
Sasa imetokea nimeresign, ila HR anasema siwezi kulipwa hio hela ya likizo kwa sababu mkataba ni wa mwaka mmoja na sijafikisha mwaka huo mmoja kama inavosoma kwenye mkataba.
Kulingana na Section 40(f) of the Employment and Labour Relations Act of 2004, an employer is legally required to pay any remuneration due upon termination of employment, including any earned but unused annual leave.
Je, niko elligible kuendelea kudai haki yangu? Naombeni msaada wa mawazo.
Asanteni
Aise.. basi nimeyakanyaga kweli kweliUlitakiwa uombe likizo kabla ya kuresign.
😂😂dah.. asante mtaalamMkuu unaonekana hukujipanga kuachishwa kazi., japo wewe umesema umeacha mwenyewe! Pole sana karibu huku kimpurukumu tukate mkaa !
Shukran nduguPole
Baada ya miezi nane serikalini una sifa za kuomba likizo na inategemea na shirika kuhusu kulipwa au kutokulipwa, taasisi zingine zinalipa kila likizo na nyingine malipo ni mara moja kila baada ya miaka miwili.Kwenye mkataba wako uliambiwa ukifanya kazi miezi 8 utalipwa likizo? Hata serikali haina utaratibu huo wa kufanya miezi 8 ulipwe likizo
Kwa mwaka unapata likizo mara moja.Habari ndugu zangu
Niko na changamoto kidogo. Nimefanya kazi na shirika X kwa muda wa miezi nane na kwenye mkataba wamesema kutakuwa na siku 28 za likizo ya kulipwa ambazo mimi sijatumia hata siku moja.
Sasa imetokea nimeresign, ila HR anasema siwezi kulipwa hio hela ya likizo kwa sababu mkataba ni wa mwaka mmoja na sijafikisha mwaka huo mmoja kama inavosoma kwenye mkataba.
Kulingana na Section 40(f) of the Employment and Labour Relations Act of 2004, an employer is legally required to pay any remuneration due upon termination of employment, including any earned but unused annual leave.
Je, niko elligible kuendelea kudai haki yangu? Naombeni msaada wa mawazo.
Asanteni
Pole
Inasikitisha sana mkuuPole inasaidia nini mkuu? Mpe ushauri..
Anyway, ngoja waje wanasheria. Mimi naungana na mbagga jr kukupa pole