Malipo ya Dowans

Lyamungo

Member
Joined
Aug 17, 2011
Posts
91
Reaction score
7
Hivi Dowans wamelipwa ama ndo hii bili ilopanda tunafidia?
 
Nchi hii lolote lawezekana. Kila kitu shaghalabaghala!
 
Ndo tunalipa sasa mkuu...natumai umeshaanza!
 
Bado DOWANS hawajalipwa. Dowans hii ya CCM inadai billioni 120:hat: kwa sasa. Ila wamevuna vya kutosha kwa miezi 21 ya mkataba na 152 millioni kwa siku. Unyonyaji huu unaendelea kupitia Symbioni, IPTL n.k.😛oa
 
hizi pesa ndio zinatumika kuwalipa kina malaria sugu si unawaona walivyo na pumzi hapa.
 
Kuna tetesi kuwa mali za ubalozi wa tz (huko UK) na hata mojawapo ya accounts za BOT zinaweza kuwa 'frozen' katika harakati za dowans kuhakikisha wanapata malipo yao. Nimelisikia hili leo kwenye "corridors" za mojawapo ya ofisi nyeti za serikali. Lets stay tuned!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…