Jamal Malinzi
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 710
- 650
Bwana Malinzi naomba umsihi Kampombe aende Ufaransa aachane kabisa na SIMBA na Yanga. Huyu ndo atafungua milango ya wengine ili tutoke tulipo kisoka
mahakama ya kazi hivi unajua tangia Bwana Yusuf Manji ameingia Yanga mwaka 2007 ni kiasi gani cha pesa ametumbukiza Yanga hadi leo? AdvocateTheonest (RIP) kama angekuwa hai angekuwa shuhuda hapa.sawa,kweli ni utumwa lakini wakina rage,malinzi,manji wanazidi kuaribu soka letu
NGANU unasema tuko busy na mapato ya Vodacom league? kwa taarifa mechi za weekend iliyopita TFF mgao wake katika mechi zote haufiki milioni 7 nawiki ijayo timu yaTwiga stars inakwenda zambia gharama ni zaidi ya 20mukijumuisha posho za mazoezi kambi fupi dar,posho zanje ya nchi,dawa,nauli nkKumbe alikuwa anabip tu kwamba yuko hewani kumbe hamna kitu.
naona hataki kurudi kujibu hoja au yuko busy na mapato VPL.
thanks Mamndenyi,nimeparekebisha mama , ni 4th february.
Kumbe alikuwa anabip tu kwamba yuko hewani kumbe hamna kitu.
naona hataki kurudi kujibu hoja au yuko busy na mapato VPL.
NGANU unasema tuko busy na mapato ya Vodacom league? kwa taarifa mechi za weekend iliyopita TFF mgao wake katika mechi zote haufiki milioni 7 nawiki ijayo timu yaTwiga stars inakwenda zambia gharama ni zaidi ya 20mukijumuisha posho za mazoezi kambi fupi dar,posho zanje ya nchi,dawa,nauli nk
Malafyale:
1. La teuzi mbali mbali nilikwisha liongelea,nakuomba tuliweke pembeni tuangalie ajenda ya mpira.
2. Tarehe 04 february kamati yetu ya utendaji itatimiza siku 100 madarakani,nitaueleza umma wa wapenda mpira Tanzania nini tumefanya ndani ya siku 100 na tunadhamiria kufanya nini siku za usoni.
3. Changamoto kubwa ni kujenga misinga ya kuzalisha kina Ngassa wengi kupitia grassroot,tunaandaa mikakati hiyo.
4. beach soccer ni sehemu muhimu ya burudani ya mpira duniani,tunaandaa utaratibu wa kusajili vilabu na kuendeleza mchezo huu ili na sisi tucheze fainali za dunia za beach soccer kama wenzetu wa afrka kama nigeria na tunisia.
Tusikate tamma,lugha za malinzi umeshindwa tayari ni lugha chanya,na ukisema malinzi kashindwa sema kashindwa katika lipi.
Salaam aleikum.
Jamal
mahakama ya kazi hivi unajua tangia Bwana Yusuf Manji ameingia Yanga mwaka 2007 ni kiasi gani cha pesa ametumbukiza Yanga hadi leo? AdvocateTheonest (RIP) kama angekuwa hai angekuwa shuhuda hapa.
Jacobus with due respects kwa hao ma legend uliowataja ni vyema tukakubaliana kuwa mpira wetu wa leo ultimate aspiration kwa vijana wetu sio kuchezea Simba (Kibaden),Yanga (Mwalusako) au Pan afrika (Tenga).Hao uliowataja walicheza mpira kwa mapenzi yao kwa mpira.Leo hii mpira ni ajira kubwa sana kwa wenye vipaji,wanaokubali kufundishika na kujituma.Zawadi kubwa wanayoweza kuipata ni kuwa wachezaji wa kulipwa kwenye vilabu vikubwa duniani na wakijaliwa wacheze fainali za AFCON na World cup.Vijana wetu tuwasukume wajenge ndoto hizo na sio kuota ndoto za kumalizia mpira wao Tanzania.Vicent Kompany ni mfano mzuri wa vijana ambao wamecheza mpira kuanzia utotoni hadi Premier League na bado akasoma hadi kupata shahada ya chuo kikuu.Umesema vijana wa Mwanza hawamjui si kweli walisema wanamjua vizuri tu.
1.There are certain things are better stay unsaid.FIFA haitoi pesa kuendesha projects zake kwa TFF?Uliingia TFF bila mbinu mbadala ila kutegemea makusanyo ya mlangoni kuendesha TFF?
Mkuu mi naona uache kuwajibu wawe wanajijibu wenyew kwasababu kuna watu wanaonekana wana wivu,uadui na chuki.Kauli zao zizipendi kabisa ni za kukatisha tamaa.Kama wao wanaweza wangegombea
huna akili unaukili
Ww ndo huna akili kabisa
Ww ndo huna akili kabisa