kulunalila
Member
- Dec 1, 2011
- 43
- 6
Sikuja kujibu hoja ya ndugu Malima na wapambe wake, hapana isipokuwa kuhoji mambo machache juu ya dhamira yake, mbinu zake, mikakati yake ya kugombea ubunge wa ukerewe.
Siku mbili tatu kumekuwa na harakati mbali mbali za kisiasa katika mitandao ya kijambii na vyombo kadhaa vya habari juu ya siasa za Ukerewe, kuhusu viongozi waliopo, kuhusu waonyesha nia na kuhusu watangaza nia wenye akili za kawaida tunajua kuwa aliyepo nyuma ya yote haya ni ndugu Malima, Malima anatumia ID fake kutimiza matakwa yake kisiasa huko Ukerewe.
Hata hivyo bwana malima hajautendea haki umma wa Watanzania na Wakerewe wote ndani na nje ya Ukerewe kwa kuwa ametengeneza unrealistic story, un bareble story, un exististing facts and un wise and intellectual analysis.
Malima rudi na kaa utafakari kama kweli uliyoyasema yana tija kwako, kama kweli ni ya kweli, kama kweli Mkundi tumjuaye ndiye uliyemwelezea!
Tuna mengi ya kwako tangu Saut hadi TFDC, tangu Ukara hadi Dsm lakini siasa za namna hiyo za nini?Just rethink!Reorganize!Replan!Restrategize!Revision.Remobilize.Refocuse.Re blainstom.
You stil can be a good leader but dont force and fool Mchambuzi huru.