Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,914
- 141,712
Hee, kumbe huyo ndiye Bi. Kasinde
Mbona anafanana sana na yule wa ng'aring'ari ya clouds tv?
Ngabu una mambo ya kiswazi
..Mimi mwenyewe nimepatwa na sulika Japo sijui ndo nini!!
..Enlighten Me!!Hahahaa kweli hujui sulika ni nini?
Nyonda wa Bw. James...James Jeddah akizungusha nyonga huku kibao cha yule mfalme wa miduara Afrika Mashariki na Kati Bw. Ali Tall almaaruf kama AT kikisikika.
Kwa nyonga hiyo sina shaka yoyote kabisa kuwa Bw. James...James Jeddah anafaudu kamani!
Mie hapa nimeishia kupatwa na sulika kila niiangaliapo hii video.
Oh..kama ulikuwa hujui, nyonda wa Bw. James...James Jeddah ni Bi. Kasinde au almaaruf kama Kasie.
Furahieni mkionacho na nawatakieni Alkhamis njema!
Hahahah ntakupigaKwa hiyo....?
Jaribu uone...Hahahah ntakupiga
Sikupendiii ndio maanaJaribu uone...
Huda na wewe unanichukia?Sikupendiii ndio maana