PAFECT
Member
- Apr 19, 2013
- 16
- 2
Naomba kuuliza wanajamiiforum ivi ule utaratibu wa wanafunzi wa shule za sekondari kurudi shule kusoma masomo ya Jioni ( Remedial ) , na kutiliwa mkazo sana na serikali za sasa,,, Ni kweli mpango huo unalenga kuwabana baadhi ya watu kusoma masomo ya dini (Madrasa).