Tukiwa tunaendelea na maombolezo ya Mzee Ruksa, naomba tuchangie hii hoja kwa ufasaha mkubwa
Kuna Binti nmekutana nae wiki kama 5 zilizopita ,nasali nae sehemu Moja pia hivyo haikuwa na shida kuzoeana.
Sasa ikapita wiki mbili nkamtongoza, jibu alonipa ni kuwa kashapendwa tayari kwahiyo mm nisiongelee Hilo jambo tena, basi nikaendelea na shuguli zangu kama kawaida, ila nilikuwa naendlea kumchatisha kawaida tu na muda wa kuona sura yake ni ibadani tu.
tukaendelea kuwasiliana Kuna siku nicpotokea lazima aseme kwann cjatokea ibadani namjibu kumridhisha Ili asinione kijana wa hovyo, Sasa kuanza wiki lilopita naona analeta mahaba sana, mara njo tupike😊, nmekuletea zawadi kutoka matembezi ,namuliza ipi ananichorea 🍎 ,ananambia njo tulishane😊, Juzi nikasema Leo kula vijiko 15 tu vya ubwabwa.
kajibu "kumbe hunipendi" nkasema hapana nakupenda to the maximum, akafurahi sahiv naona kaanza kuzama mazima anachora "😘" anauliza keki tutakula wote ?
Namjibu ndio, asee😁 Binti ni mkali haswa Tena mmeru, muda huu Niko Goba ,kasema tar 11 anakuja kwa ndg zake, namwambia nmekumic uje anachora😘 Sasa ,malijendi hii mana yake nini?
Nataka kupigwa za uso au?
Binti amenitazama vya kutosha amejiridhisha kunipenda?
Na je, kwanini Binti umtongoze akukazie sana kiasi Cha kutokuwa na ham ya kumtongoza Tena mwisho wa siku aanze kujileta kama hivi?