Ibrahim Mat Zin (center), a local "bomoh" (shaman), holds two coconuts as he performs a ritual to help finding the missing Malaysia Airlines MH370 at Kuala Lumpur International Airport. Photo by Damir Sagolj, Reuters
Aissee hawa waganga safi sana...I bet hata ukienda semu zao za kazi kuna AC na consultation fee unalipa kwa accountant na sio kama wa huku kwetu bwagamoyo unaambiwa hela ya wazee weka kwenye kibuyu..Mara unapigwa mkwala vua viatu..njoo kinyume nyume...