Malaysia Airlines passenger jet reportedly shot down in Ukraine

Chris Lukosi

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
4,583
Reaction score
2,953
Ndugu zanguni

Habari ziko sky news sasa kuwa ndege ya Malaysian airways imeanguka ikiwa na abiria 295

Hii ni ndege ya pili sasa

STAY TUNED...

Update;

Russian news agency wanasema hiyo ndege imetunguliwa na BUK missile ambayo ni ground to air missiles special kwa kutungulia ndege.


Chanzo:mirror
 
Last edited by a moderator:
Flight MH370 ?

Nahisi uwezekano wa "false flag" operation hapa. Blame it on the Russians kupata kisingizio cha kufanya tukio

Baada ya BRICS ambayo Russia ni member kuanzisha Bank,vikwazo vimeongezwa jana na leo hili .

I hope GRU imejizatiti kurudisha mapigo
 
Reactions: yok
A Malaysian passenger plane has crashed in Ukraine, according to aviation sources cited by the Russian news agency Interfax.

The airliner, which was travelling from Amsterdam to Kuala Lumpur with 295 people on board, is thought to have come down close to the border with Russia.
A spokesman for Malaysian Airlines has confirmed "an incident" on board one of its flights and is expected to release a statement shortly.

The aircraft involved is believed to be a Boeing 777 with flight number MH17, which departed from Amsterdam at 12.14am local time.

Sky's Katie Stallard, in Moscow, said media reports suggest the plane came down in an area where there has been recent heavy fighting amid continuing
tensions between Russia and Ukraine.

source: Skynews
 
Habari mbaya ni kwamba bdege MH 17 Boeing 777 ikiwa na abiria zaidi ya 300 "imeanguka" mpakani mwa ukraine na urusi

Sourcs BBC NEWS
 
safari hii imeanguka sio kupotea??. duh
Kuna uwezekano pilot alizima radar detection system kwenye ndege na akawa anairusha chini chini sana , maybe aipoteze kama ile ya kwanza na jamaa walipoona hawaisomi na hai respond kwao basi wakaamua kuishusha tu.

Pia tukumbuke hawa jamaa wanapigana na hii ndege imeangukia mpakani mwa Russia na Ukrain.
 
Hii sasa ni hatari. ...

Malaysia hawajasahau machungu ya ile iliyopotea ,mara dhoruba lingine
 

hata wafanyeje... ni tool late kuwatunishia kifua russia
 
Malaysia plane crashes in Ukraine
Last updated 3 minutes ago


A Malaysian airliner reportedly with 295 people on board has crashed in Ukraine near the Russian border, on a flight from Amsterdam to Kuala Lumpur.

Malaysia Airlines said it had lost contact with Flight MH17 from Amsterdam. The last known position was over Ukraine, it said in a tweet.

An aviation source in Moscow told Reuters the plane had been found burning on the ground in east Ukraine.

It had failed to enter Russian airspace, the source said.

The UK Foreign Office said it was aware of the reports of the crash and was "urgently working to establish what has happened".

BBC © 2014
 
abiria walikuwa 295 wakuu.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…