Malaya ni mtu wa aina gani?

Snipes

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2013
Posts
9,212
Reaction score
16,915
Habari MMU

Kichwa cha habari kinachajieleza kabisa hapa kama najazia nyama tu.

Malaya ni yule anaejiuza,anaenunua wadada,asiye na mke/mume.

hebu nielewesheni hapo.
 
Ni mwanamke yeyote mwenye uhusiano wa kimapenzi na wanaume zaidi ya mmoja bila kujalisha anajiuza ama anagawa bure.

Mh kwa hali hiyo mamalaya wengi
Mwanaume mwenye mahusiano ya mwanamke zaidi ya mmoja anaitwaje?
 
Ni mwanamke yeyote mwenye uhusiano wa kimapenzi na wanaume zaidi ya mmoja bila kujalisha anajiuza ama anagawa bure.

mwanaume wa hivyo je sio malaya na kama sio malaya ni nan??
 
Mimi nashangaa....... mtu haruhusiwi kuwapenda wenzake.......?.......kama wengine hawana mpenzi na wewe upo kuna shida gani........?.......
 
Mwanaume ruksa kuwa na wanawake zaidi hata ya wawili lakini si mwanamke kuwa na wanaume wawili.

kindoa sawa hata wa4 kwa iman yangu

sasa mfano wasio katika ndoa wanaitwaje?????
 
Habari MMU

Kichwa cha habari kinachajieleza kabisa hapa kama najazia nyama tu.

Malaya ni yule anaejiuza,anaenunua wadada,asiye na mke/mume.

hebu nielewesheni hapo.

Soma kamusi ya kiswahili. Au jaribu ku-google. Utapata maana ya neno malaya. Asante.
 
Habari MMU

Kichwa cha habari kinachajieleza kabisa hapa kama najazia nyama tu.

Malaya ni yule anaejiuza,anaenunua wadada,asiye na mke/mume.

hebu nielewesheni hapo.

Ikiwa ni pamoja na kujiuza na kununua lakini malaya ni yule aliye tayari kutoa mwili wake kwa ajili ya kufanikisha jambo!! Kikubwa cha zaidi ni yule asiyeweza kutulia na mpenzi wanayekuwa naye kwenye mahusiano (kuhama hama kusikokwisha) wakati mwingine hata kama kaolewa.

Kwa wanaume ni wale wanaoendekeza kuwa na wanawake tofauti tofauti na kuanzisha mahusiano kwa ajili ya manufaa binafsi na si mapenzi (wanaofugwa na wanawake)!!
 
Mtu yoyote asiye na mapenzi bali kuwa na huruma na kufanya mapenzi na watu tofauti tofuati bila kujali, iwe kwa kuwatoza fedha au bure.
 
Mwanamke yeyote aliyetolewa bikra na bwana mmoja, ila akaenda au kuendelea kufanya mapenzi/ngono na mwanaume mwingine!
 
Mimi nashangaa....... mtu haruhusiwi kuwapenda wenzake.......?.......kama wengine hawana mpenzi na wewe upo kuna shida gani........?.......

(in dj Khalid's tone)You smart, you are loyal,you are grateful...I appreciate that
 
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…