AZAM wataonyesha au SUPERSPORT?.
Tupeane taarifa twendeni sawa!
Ss 9...mechi itakuwa live
Chanel gani wapo live?
Angalia Malawi tv iko kwenye king'amuzi cha azam tv chini ya rwanda tv baada ya kumaliza channels za uganda
farid mussa namkubali ile mbaya huyu dogo kwanini asipelekwe arsenal kufanya majaribio AZAM watusaidie kwa hili
Kama nchi yako iko nje ya 70 bora za FIFA ranks, mchezaji marufuku EPL, unless mchezaji aende kama teenage, ajoin ktk soccer academy za club za EPL
hii sheria imeanza mwaka gani mkuu tufahamishane. najua kufanya majaribio inawezekana na anasubir mda fulan apate kibal cha kazi au apelekwe nchi nyengne acheze kwa mkopo inatosha kwa farid nakumbuka kuna wachezaji kama ryo miaichi, campbell wote hawakuwa na kibal lakin walienda kwa mkopo timu nyengne na sasa wapo poa japo ryo aneachwa na arsenal kwasabab ya kiwango