Nenda mama, songa mbele, ziwa malawi ni lenu. JK dhaifu
Ukweli ni kwamba wawekezeaji wangependa zaidi kufanya biashara na Malawi kuliko Tanzania. Tanzania haielewi umuhimu wa wawekezaji na huwa ina tabia ya kuwaona kuwa ni maadui wakubwa. Utawekeza TZ mabillioni, halafu baadaye unamsikia mbunge asiyeelewa A, B, wala C ya uwekezaji akikushambulia bungeni kuwa wewe ni mnyonyaji!
Angalia Sheraton, Kempisnki, BP, British Airways - makampuni yaliyopo nchi zote duniani, yamejaribu kufanya biashara na kuikimbia TZ. Sasa hivi hata mwekezaji mkubwa kuliko wote, yaani Barrick, wanatarajia kuuza biashara yao kwa Wachina na kutimua mbio.
WaTZ lazima tubadilike na kukumbatia kwa dhati uwekezaji wa nje (FDI). Nachoogopa ni siyo CCM, CUF wala CDM, waliojipambanua kuwa wanaelewa umuhimu wa wawekezaji

Mkuu inawezekana hata wewe ni kihiyo kwenye jambo ulilolianzishia mada.
Kabla hujahitaji muwekezaji na kumtambua, ni lazima utohoe "mali yako ni nini na umepaswa kuomiliki kwa asilimia ngapi, unaweza kumshirikisha mtu ili apate asilimia ngapi"
huwezi kumuachia, unayedai ni muwekezaji achimbe dhahabu "yako" bure kwa kigezo cha kutokuwa na umeme eneo la mgodi, kwa maneno mengine thamani ya dhahabu yako ni gharama za umeme mgodini.
Umenichefua.
Uadui dhidhi ya uwekezaji hujitokeza kwa namna nyingi. Huu uelewa wako wa kwamba ni lazima umiliki kitu ili unufaike nacho ni mojawapo wa namna waTZ wengi wanapojipeleka kupinga wawekezaji.
Siyo lazima serikali ya Japan imiliki Toyota ili ile nchi inufaike na hilo kampuni. Kampuni ya Rover na Jaguar, inayotengeneza gari la malkia wa UK, linamilikiwa na waHindi (Tata). Serikali ya Afrika Kusini wala haitozi mrahaba kwa makampuni ya madini.
Yote hii ni kwa sababu, thamani ya migodi haiko kwenye kodi, wala kwenye mrahaba. Thamani ipo kutokana na kitu kinaitwa LINKAGES na MULTIPLIER EFFECT. Kwa mfano, Tanesco ingeweza kabisa kujenga uwezo wa STEIGLERS GORGE kama wangeji link na migodi. Hii migodi inahitaji umeme mwingi, lakini inaishia kutengeneza umeme wake wenyewe kwa gharama maradufu ya kama wangenunua Taneco for teh simple reason kuwa Tanesco haijajishughuilisha kujenga uwezo wa kuhudumia hii migodi. Na hata Tanesco ikijaribu, waTZ wanaanza kulalama kuwa Tanesco inapeleka umeme kwa wanyonyaji!
Hiyo mifano unayoisikia kuhusu Botswana na Ghana siyo kama inavyosemwa.
Mkuu ninachoongelea unaonekana huna uwezo wa kukielewa, umemeza kaseti ya chama kibovu cha mapinduzi! Unasikitisha, unatoa irelevant example, huwezi kuimpose sheria ya kutoa tigo home kwako kwa kuwa nyumba ya jirani wanajisevia,
kiwanda ni tofauti na mgodi. Pia uwe na akili angalau ndogo kujua kuwa south africa uchumi unashikiliwa na wazungu, kutokutozwa kodi kwa migodi yao inapeleka direct profit kwa acounts za wazungu, likewise wanataka hiyo definition ya faida itumike na huku.
Dhahabu ni yetu 100% kama tunashindwa kuichimba tumshirikishe awezaye kwa kumpa 25% to 30%
kama hawataki tuiache hiyo dhahabu izidi kuwa ghafi. hatutaki ujinga wa mifano ya ki-Juma Ngasongwa hapa.
Uadui dhidhi ya uwekezaji hujitokeza kwa namna nyingi. Huu uelewa wako wa kwamba ni lazima umiliki kitu ili unufaike nacho ni mojawapo wa namna waTZ wengi wanapojipeleka kupinga wawekezaji.
Siyo lazima serikali ya Japan imiliki Toyota ili ile nchi inufaike na hilo kampuni. Kampuni ya Rover na Jaguar, inayotengeneza gari la malkia wa UK, linamilikiwa na waHindi (Tata). Serikali ya Afrika Kusini wala haitozi mrahaba kwa makampuni ya madini.
Yote hii ni kwa sababu, thamani ya migodi haiko kwenye kodi, wala kwenye mrahaba. Thamani ipo kutokana na kitu kinaitwa LINKAGES na MULTIPLIER EFFECT. Kwa mfano, Tanesco ingeweza kabisa kujenga uwezo wa STEIGLERS GORGE kama wangeji link na migodi. Hii migodi inahitaji umeme mwingi, lakini inaishia kutengeneza umeme wake wenyewe kwa gharama maradufu ya kama wangenunua Taneco for teh simple reason kuwa Tanesco haijajishughuilisha kujenga uwezo wa kuhudumia hii migodi. Na hata Tanesco ikijaribu, waTZ wanaanza kulalama kuwa Tanesco inapeleka umeme kwa wanyonyaji!
Hiyo mifano unayoisikia kuhusu Botswana na Ghana siyo kama inavyosemwa.
Kwa nini tusiwe na vinu vya kufua na kusafisha dhahabu hapo hapo Tanzania badala ya kuipeleka nje? Tunajua ni kiasi gani kinapelekwa nje kila wiki?By the time dhahabu inaenda sokoni, tayari kuna ma-supplir wa shughuli za uchimbaji ambao wanasubiri 60% ya hayo mauzo. Tena kuna mabenki yaliyomkopesha mwekezaji yanasubiri 13%.
Kama strategy yako ni kusubiri mpaka mauzo ndiyo upate chako, utabaki kulalama kuwa unaibiwa. Wenye kuelewa hii biashara wana hakikisha wapo kwenye hiyo 80%.
Tanzania inabidi tu-enforce LOCAL CONTENT requirements kwenye hii migodi. Kuwa hiyo 80% iwe inatokana, kwa kiwango kikubwa, kutoka makampuni ya TZ. Kwa sasa, hata mabasi ya kupeleka wafanyakazi kwao yanatoka Kenya - ambao wanaelewa zaidi uwekezaji maana yake nini