Malawi President Mrs Joyce Banda is scheduled to travel to United States of America this weekend | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Malawi President Mrs Joyce Banda is scheduled to travel to United States of America this weekend

Discussion in 'International Forum' started by R.B, Sep 12, 2012.

 1. R.B

  R.B JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 6,166
  Likes Received: 1,101
  Trophy Points: 280
  Malawi President Mrs Joyce Banda is scheduled to travel to United States of America this weekend where she has a number of official engagements including receiving awards and addressing the United Nations General Assembly.
  President Banda will address the United Nations General Assembly in New York on Wednesday, September 26. This will be her first speech to world leaders.
  Banda's address will come on the same day Iranian President Mahmoud Ahmadinejad is expected to address the General Assembly.
  Western leaders, including German Chancellor Angela Merkel, British Prime Minister David Cameron and French President Francois Holland are also expected to address the assembly.
  [​IMG]

  President Banda: Heading to New York

  State House press aide Tusekele Mwanyongo confirmed to Nyasa Times that the Malawi Head of State will deliver her first address to the UN General Assembly on September 26 and said it will be "a very important opportunity" for the Malawian leader to inform the international community her vision " to eradicate poverty through empowering the people and wealth creation."
  This year's theme for the UN General Assembly is, ‘Bringing about adjustment or settlement of international disputes or situations by peaceful means.'
  " It's obvious the President speak in support of this theme as she is an ardent of peaceful resolutions to various forms of conflicts. She has already demonstrated to the whole world her resolve to ending conflicts in Africa as evidenced by her stance on Sudan," said the presidential press aide.
  President Banda refused to welcome in Malawi , the Sudanese President Omar al-Bashir, against whom the Hague-based International Criminal Court (ICC) has issued two arrest warrants-one for crimes against humanity and war crimes and the other for genocide. She made it clear that Bashir would be arrested in Malawi and turned over to the ICC.
  Awards
  Nyasa Times understands that while in the United States, President Banda will receive an award as the ‘African Most Influential Female Leader of the year' from the Global Forum on African Women In leadership.
  President Banda will receive the award Friday September 21 where she will also be giving the luncheon lecture at Waldorf Astoria Hotel.
  The forum will bring together a group of leading women in leadership from across Africa and the Diaspora.
  The ‘African Most Influential Female Leader of the year' award comes after President Banda , fondly called JB, has been ranked the most powerful woman in Africa and 71 in the world, by Forbes Magazine.
  Banda told Nyasa Times in a telephone interview from State House in Lilongwe that she was "humbled" and "honoured" to be listed in the highly rated Forbes.
  The women on the list are ranked according to influence, the amount of money they control or earn and media presence.
  Malawi's first female president following the death of Bingu wa Mutharika, told Nyasa Times that she is being motivated by the international recognition to continue being "servant of the people."
  Banda is also expected to receive another award from the African-American Institute (AAI).
  Other programmes

  While in the US, President Banda will also have an opportunity to meet the world most powerful leader Barack Obama. The American leader who is campaigning for re-selection will host the Heads of State a luncheon.
  President Banda will also have a task to lure investors as she will attend a Malawi Investors Forum organized by Standard Bank.
  She will also be at an Investment Summit for African Heads of state at the New York Stock Exchange.
   
 2. K

  Kifarutz JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 1,694
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Nenda mama, songa mbele, ziwa malawi ni lenu. JK dhaifu
   
 3. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #3
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,800
  Trophy Points: 280
  Nilikuwa maeneo ya monduli, morari wa masoja upo juuuuuuu. Mwache wamchuuze.
   
 4. K

  Kifarutz JF-Expert Member

  #4
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 1,694
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Nimeipenda hiyo, labda wamasai watatutoa kimasomaso but si JK.
   
 5. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #5
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Lusekelo Mwanyongo .......................................
   
 6. The Stig

  The Stig JF-Expert Member

  #6
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 881
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 80
  Ukweli ni kwamba wawekezeaji wangependa zaidi kufanya biashara na Malawi kuliko Tanzania. Tanzania haielewi umuhimu wa wawekezaji na huwa ina tabia ya kuwaona kuwa ni maadui wakubwa. Utawekeza TZ mabillioni, halafu baadaye unamsikia mbunge asiyeelewa A, B, wala C ya uwekezaji akikushambulia bungeni kuwa wewe ni mnyonyaji!

  Angalia Sheraton, Kempisnki, BP, British Airways - makampuni yaliyopo nchi zote duniani, yamejaribu kufanya biashara na kuikimbia TZ. Sasa hivi hata mwekezaji mkubwa kuliko wote, yaani Barrick, wanatarajia kuuza biashara yao kwa Wachina na kutimua mbio.

  WaTZ lazima tubadilike na kukumbatia kwa dhati uwekezaji wa nje (FDI). Nachoogopa ni siyo CCM, CUF wala CDM, waliojipambanua kuwa wanaelewa umuhimu wa wawekezaji
   
 7. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #7
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,800
  Trophy Points: 280
  Mkuu inawezekana hata wewe ni kihiyo kwenye jambo uliloliandikia uzi.

  Kabla hujahitaji muwekezaji na kumtambua, ni lazima utohoe "mali yako ni nini na umepaswa kuomiliki kwa asilimia ngapi, unaweza kumshirikisha mtu ili apate asilimia ngapi"

  huwezi kumuachia, unayedai ni muwekezaji achimbe dhahabu "yako" bure kwa kigezo cha kutokuwa na umeme eneo la mgodi, kwa maneno mengine thamani ya dhahabu yako ni gharama za umeme mgodini.

  Umenichefua.
   
 8. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #8
  Sep 12, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Nikisoma baadhi ya comments humu naona elimu ya uraia imekosekana kabisa nchini, au haya ndio madhara ya kufuta JKT kwa wote...
   
 9. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #9
  Sep 12, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kwenye JF, utawatambua wanaofaidika na ufisadi wa nchi kwa michango yao. Tulishakutambua mkuu. Pato la 3% kwa nchi kutoka kwenye madini ni uwekezaji au uibaji? Hatutaki wizi katika nchi yetu kwa mwamvuli wa uwekezaji. Nafikiri neno uwekezaji lina maana ya kutaka kutuchanganya tu, lakini kikubwa hapa ni kufanya biashara yenye faida pande zote. Kwa lugha nyingine hatuhitaji wawekezaji bali watu wa kufanya biashara nao. Wawekezaji ndo nini zaidi ya kutuibia tu.
   
 10. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #10
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Jamaa yetu wamemchungulia na kuona alivyoegemea kwa maadui zao, sasa wanatafuta new allies
   
 11. The Stig

  The Stig JF-Expert Member

  #11
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 881
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 80
  Uadui dhidhi ya uwekezaji hujitokeza kwa namna nyingi. Huu uelewa wako wa kwamba ni lazima umiliki kitu ili unufaike nacho ni mojawapo wa namna waTZ wengi wanapojipeleka kupinga wawekezaji.

  Siyo lazima serikali ya Japan imiliki Toyota ili ile nchi inufaike na hilo kampuni. Kampuni ya Rover na Jaguar, inayotengeneza gari la malkia wa UK, linamilikiwa na waHindi (Tata). Serikali ya Afrika Kusini wala haitozi mrahaba kwa makampuni ya madini.

  Yote hii ni kwa sababu, thamani ya migodi haiko kwenye kodi, wala kwenye mrahaba. Thamani ipo kutokana na kitu kinaitwa LINKAGES na MULTIPLIER EFFECT. Kwa mfano, Tanesco ingeweza kabisa kujenga uwezo wa STEIGLERS GORGE kama wangeji link na migodi. Hii migodi inahitaji umeme mwingi, lakini inaishia kutengeneza umeme wake wenyewe kwa gharama maradufu ya kama wangenunua Taneco for teh simple reason kuwa Tanesco haijajishughuilisha kujenga uwezo wa kuhudumia hii migodi. Na hata Tanesco ikijaribu, waTZ wanaanza kulalama kuwa Tanesco inapeleka umeme kwa wanyonyaji!

  Hiyo mifano unayoisikia kuhusu Botswana na Ghana siyo kama inavyosemwa.
   
 12. The Stig

  The Stig JF-Expert Member

  #12
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 881
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 80
  Mods, huu uzi mkiuleta huku ni kama mmeuua. Bora mngeurudisha JLS.
   
 13. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #13
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,800
  Trophy Points: 280
  Mkuu ninachoongelea unaonekana huna uwezo wa kukielewa, umemeza kaseti ya chama kibovu cha mapinduzi! Unasikitisha, unatoa irelevant example, huwezi kuimpose sheria ya kutoa tigo home kwako kwa kuwa nyumba ya jirani wanajisevia,

  kiwanda ni tofauti na mgodi. Pia uwe na akili angalau ndogo kujua kuwa south africa uchumi unashikiliwa na wazungu, kutokutozwa kodi kwa migodi yao inapeleka direct profit kwa acounts za wazungu, likewise wanataka hiyo definition ya faida itumike na huku.

  Dhahabu ni yetu 100% kama tunashindwa kuichimba tumshirikishe awezaye kwa kumpa 25% to 30%

  kama hawataki tuiache hiyo dhahabu izidi kuwa ghafi. hatutaki ujinga wa mifano ya ki-Juma Ngasongwa hapa.
   
 14. The Stig

  The Stig JF-Expert Member

  #14
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 881
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 80
  By the time dhahabu inaenda sokoni, tayari kuna ma-supplir wa shughuli za uchimbaji ambao wanasubiri 60% ya hayo mauzo. Tena kuna mabenki yaliyomkopesha mwekezaji yanasubiri 13%.

  Kama strategy yako ni kusubiri mpaka mauzo ndiyo upate chako, utabaki kulalama kuwa unaibiwa. Wenye kuelewa hii biashara wana hakikisha wapo kwenye hiyo 80%.

  Tanzania inabidi tu-enforce LOCAL CONTENT requirements kwenye hii migodi. Kuwa hiyo 80% iwe inatokana, kwa kiwango kikubwa, kutoka makampuni ya TZ. Kwa sasa, hata mabasi ya kupeleka wafanyakazi kwao yanatoka Kenya - ambao wanaelewa zaidi uwekezaji maana yake nini
   
 15. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #15
  Sep 12, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Uwekezaji si ukombozi.
   
 16. K

  KakindoMaster JF-Expert Member

  #16
  Sep 12, 2012
  Joined: Dec 5, 2006
  Messages: 1,349
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Katika suala hili Tanzania inabidi iwe makini sana. Malawi tanyari imekuwa na mazungumzo na nchi mbali mbali kuhusu kupata suport endapo kuna jambo litatokea. Kwa habari za uhakika tayari imepata support kutoka Nigeria. Na inaendelea kutafuta support kutoka mataifa mengine. Tanzania wasikae kimya kuwa wanasubiri mazungumzo kama hili suala ni kulipeleka kwenye usuruhishi inabidi ifanyike mapema. Vinginevyo tutegemee matatizo makubwa kutoka malawi. Tusibweteke na haya mazungumzo.

  Kwa ufupi mama anacheka lakini ameisha hamua liwalo na liwe.
   
 17. nasnee

  nasnee Member

  #17
  Sep 12, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hana inshu huyo wanaenda kumchuuza 2 when are we goin 2 get our true fighters the true legend the true african leaders?
   
 18. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #18
  Sep 12, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Kwa nini tusiwe na vinu vya kufua na kusafisha dhahabu hapo hapo Tanzania badala ya kuipeleka nje? Tunajua ni kiasi gani kinapelekwa nje kila wiki?
   
 19. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #19
  Sep 13, 2012
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  JK na genge lake nao kwa vyovyote watakuwa on the way to NY kupitia London au Dubai
   
 20. T

  Tinda Senior Member

  #20
  Sep 13, 2012
  Joined: Sep 11, 2012
  Messages: 197
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  If you can't teach us then cheat us that is what you have done, nambafuuuu sana wewe kuhusu uwekezaji Nafikiri umeshindwa kutufundisha kwahiyo ukaamua...
   
Loading...