eleza kama mzawa wanafanya nini? malavidavi gani? kama kushikana kiuno tuu haina mashiko au wanagusanisha ndimi? ngozi nyeupe/wazungu au ngozi nyeusi/waswahili?
wadau nipo kwny dala dala natoka tandika naelekea kariako 2po kwny foleni ya taa hapa chang'ombe shell lakini huwezi amini kuna jamaa yupo na demu wake cti ya nyuma wanashikana na hatari zaidi kuna muda wamepigana denda kuna abiria 1 kawaambia ukweli kuwa wanavyofanya sio vizuri wamemjibu hayamuhusu,ama kweli utandawazi unazidi kuliangamiza taifa letu.

mbona kawaida tu,marekan watu wanakulana denda mitaani tena mchana kweupe,tena kwenye mikusanyiko ya watu
huu utandawizi unawaharibu watu ubongo,nahisi baadhi ya watu wamewekewa ubongo wa kichina..........hata mimi nishawahi kupanda DCM hiyo couple ikaanza malovee humo ndani afu ukiwatizama watu wenyewe hawana hata mvuto wa kutazamwa mara mbili lakini wamo tu,,,,,,,sura zimekomaa,mabonge nyanya,hiyo rangi ya ngozi ndo usipime.....hata sikuwarudia tena maana walinikata stimu kabisa.Sijui sisi wabaya huwa tunajikuta tunalipa kuliko mtu mwingine..........tabia mbaya sana kwani wakishuka wakakodi chumba au wakafika nyumbani hcho kinu na mwichi vitakua vimehama au ni ushamba.:boxing::boxing: