tofyo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 2,754
- 764
Malalamiko yangu ni kwamba hii kasi bado ni ndogo.
Kwa hali ambayo hii nchi ilipokuwa imefikia wengi wetu tulitamani hata nchi iendeshwe kijeshi kwa muda hata wa mwaka mmoja.
Wengine walitamani nchi iuzwe kila mtu aondoke na chake.
Wengine waliutamani ukoloni ule kuliko uongozi uliokuwepo.
Mheshimiwa Mbowe nae katika kauli zake viwanja vya furahisha, pale Mwanza aliuliza "wangapi wanataka kufanya yale yaliofanyika Tunisia, Libya au Misri?.............
malalamiko yangu ni, kasi bado ipo chini sana, „
MAOMBI YANGU.NI;
1.Uongezwe muda wa kufanya kazi
2.Jumamosi isiwe siku ya mapumziko
3.miji mikubwa biashara na shughuli zingine ziwe 24hrs
4.gari za abiria za mkoa kwa mkoa ziwe 24hrs na mengine mfano wa hayo.