Malalamiko kwa vodacom

kalendi

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2012
Posts
1,385
Reaction score
642
Heshima kwenu wanajamvi!
Kuna huduma ifahamikayo Dstv mobile kwa wale watumia wa voda hususani wale wenye simu za 3G
Kuna channels kama 15 hivi ikiwemo Tbc1
Lakini la kushngaza na kusikitisha hii channel ya Tbc1 imebaki kama pambo tu.
Ukiingia kwenye hiyo channel unakutana na vipindi vya televisheni zingine tofauti na Tbc1.
Nimejaribu kuwasiliana na wahudumu wa voda majibu wanayojibu wala hayalidhishi.
Labda kama kuna mwanajamvi yeyote humu alijaribu kuuliza akapata majibu yanayojitoshereza ajaribu kutujuza.
Nawasilisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…