Maulid Daniel
Senior Member
- Jul 4, 2012
- 140
- 72
Aisee yaani inakera ni hivyo hivyo hata dsm,na sisi tulionunua simu zinazotumia line ya tigo tu imekula kwetu.
Ndugu wana jamii forum mimi ni mteja wa kampuni ya simu za mkononi ya TIGO lakini cha kushangaza tokea nimefika hapa mjini Morogoro takribani mwezi mmoja na nusu nimeshuhudia huduma mbovu za kimtandano ndani ya Mkoa huu. Ikifika saa 12 jioni mpaka saa 4 usiku network inakuwa zero haswa kwa watumiaji wa internet. Yani hata uwezo wa kufungua link za humu jamii forum ni shida, FB wanayoisema ni ya bure kwa kiswahili haifunguki, msg za whatsapp haziingii wala hazitoki. Tunaomba wahusika mlishughulikie hili tatizo maana nimejaribu kwenda ofisi zao pale mjini karibu na stend lakini hawajanisikiliza na kwa ninavyoona hawana nia ya kulishughulikia hili tatizo.
Ndugu wana jamiiforums.
Mimi ni mteja wa kampuni ya simu za mkononi ya TIGO lakini cha kushangaza tokea nimefika hapa mjini Morogoro takribani mwezi mmoja na nusu nimeshuhudia huduma mbovu za kimtandao ndani ya Mkoa huu.
Ikifika saa 12 jioni mpaka saa 4 usiku network inakuwa zero haswa kwa watumiaji wa internet. Yani hata uwezo wa kufungua link za humu jamii forum ni shida, Facebook wanayoisema ni ya bure kwa kiswahili haifunguki, SMS za whatsapp haziingii wala hazitoki.
Tunaomba wahusika mlishughulikie hili tatizo maana nimejaribu kwenda ofisi zao pale mjini karibu na stend lakini hawajanisikiliza na kwa ninavyoona hawana nia ya kulishughulikia hili tatizo.
Tigo ni mzigo tunaitumia kwasababu ya wenzetu wanao tumia unless otherwise haifai... Angalia menu ya MPESA na TIGO PESA.. Total different.. ya Tigo haieleweki kabisa ... Matangazo mengi sana na sijui kama hata wanayalipia.. ukiweka vocha utapokea messege kama 4 Hivi... Menu yao us kijiunga na vifurushi tatizo leo iko Hivi kesho vingine.. vifurushi vina badilika kila kukicha... Tigo Acheni uswahili..