Malaika wa visu.

Malaika wa visu.

directa

Senior Member
Joined
Jan 27, 2017
Posts
102
Reaction score
150
majanga ya visu yamekuwa yakitikisa sana huko UK. ndipo msanii wa uchongaji Alfie Radley alipoguswa kumtengeneza malaika huyo, ili kuwakumbuka walio athirika na matokio hayo ya visu.

ametumia visu 100,000 ambavyo vingi vilitumika katika athari hizo, alivyopewa na Polisi, katika maeneo ya england na wales.

jamaa anampango wakuweka ilo sanamu sehemu inaitwaTrafalgar square.

ametumia miaka miwili kutengeneza
giant-knife-angel-sculpture-alfie-radley-7-597b3c6a043e4__700.jpg


lakini serikali wanapinga hii idea.
giant-knife-angel-sculpture-alfie-radley-6-597b3c67ebea7__700.jpg


ametumia visu vingi kishenzi 100,000
giant-knife-angel-sculpture-alfie-radley-5-597b3c6601888__700.jpg


mungu zilaze roho za marehemu mahali pema
giant-knife-angel-sculpture-alfie-radley-2-597b3c60dafff__700.jpg


futi 20.
giant-knife-angel-sculpture-alfie-radley-1-597b3c5e8db27__700.jpg
 
Back
Top Bottom