Makubwa yamenikuta

Acha UBASHITE mkuu,kitendo cha kuja maana yake kashakubali kuliwa hiyo kitu,ulichokosea ni kuomba mzigo,ulitakiwa utumie teqnik za mahabati mwenyewe angevua.
Tatizo alijua ni zawadi
Tutapanga tena mkuu
 
Sasa huo upuuzi gani unakuja kufungulia uzi humu?

Bado naamini kuwa ukitumia vyema makalio yako unaweza kuwa Gavana wa Kaunti ya Mombasa.
Inaonekana hata wewe uchumi wako unategemea maka. Lio
Sisi uchumi ni Biashara mkuu
 
Ni kweli mkuu ungenishauri mapema
Ndega dream liner imeshaondokau
 
Matokeo yakitoka ndiyo mnalia nina D zote niweza kusomea hiki. Muda wa kutafuta C na B unawaza kuvua vyupi
 
Last edited:
Then ukizingatia ushaskianga storykwawatu kuwa demu aki come to your room ukimuacha itakuwa dhereu, ukileta hiyo kitu
on brain lazima atoe, hutaki kudharaulika easy like that
 
Sasa huo upuuzi gani unakuja kufungulia uzi humu?

Bado naamini kuwa ukitumia vyema makalio yako unaweza kuwa Gavana wa Kaunti ya Mombasa.
Wewe ulishapitia
Mombasa hujapewa cheo?
Nadhani utakuwa Women representative
 
Wewe ulishapitia
Mombasa hujapewa cheo?
Nadhani utakuwa Women representative
Utakuta Baba yako nae anasema ana watoto wa3 wa kike na Mvulana mmoja angekuwa anajua kuwa wewe ni Binti wa Nne ni kwa vile unatumia Id feki.
 
Then ukizingatia ushaskianga storykwawatu kuwa demu aki come to your room ukimuacha itakuwa dhereu, ukileta hiyo kitu
on brain lazima atoe, hutaki kudharaulika easy like that
Muda haukutosha mkuu
Kilio jirani wanasikia
 
Mkuu fahamu kwamba imeandikwa; "ikimbieni ZINAA...." tena dini zote zimekemea ZINAA, sasa mimi nakuambia tena, ikimbie ZINAA, acha kabis UASHERATI, kama unataka mwanamke, oa!

Usiposikia shauri yako!
 
Mkuu fahamu kwamba imeandikwa; "ikimbieni ZINAA...." tena dini zote zimekemea ZINAA, sasa mimi nakuambia tena, ikimbie ZINAA, acha kabis UASHERATI, kama unataka mwanamke, oa!

Usiposikia shauri yako!
Nimesikia mkuu
Nitafata ushauri wako
Shukrani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…