Wameridhiana? Serikali ilikuwa wapi miaka 52 iliyopita? Sasa wanauona umuhimu wa kumlipa mwalimu mshahara badala ya posho? Na hili la mwl.kwenda likizo bila kupewa nauli wamelitazamaje?
Hakika, kama wataendelea kumkandamiza mwl. ili atoe matokeo dhaifu kwa manufaa ya ccm kupata kura wanajidanganya kwani wananchi wanjitambua sasa.
Na waache kujidanganya kuwa yaliyotokea Kenya hayawezi kujitokeza hapa na madhara yake ni makubwa mara dufu.
Hebu wabadilike hao watendaji wa wizara au wanamsubiria Lembeli na kamati yake waje kuwaanika bungeni na kutakiwa kuachia ngazi?