Makosa yanayofanyea na polisi na sisi wachangiaji kuhusu swala la Kibiti

jamvimoto

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
703
500
Kuna makosa makubwa tena fanywa na polisi ,
Wachangia maada hapa n.a. wanachama wavyama cha siasa.
Polisi:mnapo pewa information ya kikundi fulani kina husika hiyo information iwe siri.mkiaambiwa ni viongozi wa cuf nyie chukueni wana ccm wana chadema na wana cuf katika hilo kundi mnaemtaka mnajua ninyi.mkiambiwa ni wachungaji kamateni na mashehe na waganga
Kila mmoja mtamhoji maswali yake mnaemtaka mtamhoji zaidi.lakini mnapoaambiwa ni viongozi wa cuf mkaeakamata wao tu hamtapa ushirikiano tena kwa was na. wafuasi wao.Poe mnarahisa kujulikana alie watonya.
Wacanjiaji naomba tuepuke kutumie majina ya vikundi yupo shuku mtu mate ooh uislam mara kauwawa mwanaccm mate wamekamatwa but
Mnajua nguvu mhalifu kwa kuongeza ufa
Kati yetu.Utakuta ooh mauwaji ni visasi v ya uonezi come fanywa na serikali,kama Mimi niliye Simiyu nahisi kuna mahali sijatendewa haki nishabikie wakombozi wangu.kwa hayo nilioeleza naona kwa ngapi adui ku-gain ground.
No mawazo yangu tu kama raia.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom