Makosa ya ufisadi wizara ya ardhi yasababisha tusiwe na hati mpaka leo

Mookiesbad98

JF-Expert Member
Feb 1, 2015
2,637
3,351
Kama mmiliki wa ardhi eneo la mbezibeach nasikitishwa na naomba Waziri mdhaminiwa afanye "Cold case resolution" kwa kuangalia miaka iliyopita kuna Afisa ardhi aliyekuwa akikwamisha final master plan ya mbezibeach kwa makusidi au sababu ambazo mpaka leo 3/4 ya mbezi beach watu hawajapata hati miliki Tukiuliza mara saini ya raisi mara "Setumbi alikosea" Umefika wakati tuwe kama Kenya ukicheza na misconduct kazini unaadhibiwa. TUNAHITAJI HAWA WATUMISHI WA ARDHI WALIOVURUNDA WAADHIBIWE NA WATAFUNDISHA WENGINE WANOACHIA MJI UWE SLUMS KUKOMA
 
Back
Top Bottom