Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,410
WanaJF,
Kumbe makosa ya barabarani yanasaidia kukusanya mapato?
===================
Jeshi la Polisi kanda Maalum ya Dar es Salaam kupitia kikosi chake cha usalama barabarani kimekusanya mil 548.16 kutokana na faini za makosa mbalimbali ya usalama barabarani.
Haya ni matokeo chanya baada ya jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani kwa kushirikiana na Kampuni ya Max Malipo kuanzisha utaratibu wa kutumia kifaa kipya cha kielektoniki cha kufanyia malipo kwa madereva wa magari waliovunja sheria za usalama barabarani.