Kumbe na wewe ni ghaidi, kwa kauli hizi kesho utavaa mabomu na kujilipua!1) Kuungana mkono Watawala wa Kifalme wa falme za kiarabu waliokuja kufadhili Mapinduzi ya Serikali yake.
2) Kukubali kuanzisha Ushirikiano na Amerika, Shetani aliyekuja kuvuruga Serikali yake.
3) Kukubali kutambua Mkataba wa Camp David wa Kuilinda Taifa Haramu la Israel na Kuwasahau Wananchi wenye kudhulumiwa wa Palestina.
4) Kubweteka na Uraisi akidhania Mapinduzi huishi Kuhodhi Madaraka wakati Mifumo yote ya Dola ilikuwa ni Kitwaghuti yenye kutumikia Maslahi ya Magharibi.
5) Kukubali Shinikizo la Marekani na Israel kuvunja mahusiano na Iran na Syria. Akidhania Watamlinda na serikali yake.
6) Kuvaa joho la Uliberali na kuogopa Kutangaza Dola ya Kiislamu ili kutaka Kumridhisha Mazayuni na Amerika.
7) kubadili Malengo ya Mapinduzi, ya kupamba na Uingiliaji wa masuala ya ndani ya Misri wa Marekani na Israel na kupinga Dhulma na Ukoloni Mambo leo. Na badala yake akabadilika kuwa Rafiki wa Wakoloni na kuwapa Uwanja lifanya walitakalo katik Ardhi ya Misri.View attachment 1131309
Kutoka wapi?Hujui lolote kuhusu mursi wewe
Huyo mursi alikataliwa na jeshi la misri kumbuka jeshi la misri ndio linpokea kiwango kikubwa cha msaada kuliko nchi yeyote ya kiafrika
Yaani wewe ndio hujui kitu kabisa kuhusu siasa za Misri,inaelekea upo kwenye vijiwe vya kahawa vya Mwembechai1) Kuungana mkono Watawala wa Kifalme wa falme za kiarabu waliokuja kufadhili Mapinduzi ya Serikali yake.
2) Kukubali kuanzisha Ushirikiano na Amerika, Shetani aliyekuja kuvuruga Serikali yake.
3) Kukubali kutambua Mkataba wa Camp David wa Kuilinda Taifa Haramu la Israel na Kuwasahau Wananchi wenye kudhulumiwa wa Palestina.
4) Kubweteka na Uraisi akidhania Mapinduzi huishi Kuhodhi Madaraka wakati Mifumo yote ya Dola ilikuwa ni Kitwaghuti yenye kutumikia Maslahi ya Magharibi.
5) Kukubali Shinikizo la Marekani na Israel kuvunja mahusiano na Iran na Syria. Akidhania Watamlinda na serikali yake.
6) Kuvaa joho la Uliberali na kuogopa Kutangaza Dola ya Kiislamu ili kutaka Kumridhisha Mazayuni na Amerika.
7) kubadili Malengo ya Mapinduzi, ya kupamba na Uingiliaji wa masuala ya ndani ya Misri wa Marekani na Israel na kupinga Dhulma na Ukoloni Mambo leo. Na badala yake akabadilika kuwa Rafiki wa Wakoloni na kuwapa Uwanja lifanya walitakalo katik Ardhi ya Misri.View attachment 1131309
MarekaniKutoka wapi?
Kutoka wapi?
Kumsingizia marehemu uongo ni dhambi! Acha1) Kuungana mkono Watawala wa Kifalme wa falme za kiarabu waliokuja kufadhili Mapinduzi ya Serikali yake.
2) Kukubali kuanzisha Ushirikiano na Amerika, Shetani aliyekuja kuvuruga Serikali yake.
3) Kukubali kutambua Mkataba wa Camp David wa Kuilinda Taifa Haramu la Israel na Kuwasahau Wananchi wenye kudhulumiwa wa Palestina.
4) Kubweteka na Uraisi akidhania Mapinduzi huishi Kuhodhi Madaraka wakati Mifumo yote ya Dola ilikuwa ni Kitwaghuti yenye kutumikia Maslahi ya Magharibi.
5) Kukubali Shinikizo la Marekani na Israel kuvunja mahusiano na Iran na Syria. Akidhania Watamlinda na serikali yake.
6) Kuvaa joho la Uliberali na kuogopa Kutangaza Dola ya Kiislamu ili kutaka Kumridhisha Mazayuni na Amerika.
7) kubadili Malengo ya Mapinduzi, ya kupamba na Uingiliaji wa masuala ya ndani ya Misri wa Marekani na Israel na kupinga Dhulma na Ukoloni Mambo leo. Na badala yake akabadilika kuwa Rafiki wa Wakoloni na kuwapa Uwanja lifanya walitakalo katik Ardhi ya Misri.View attachment 1131309
Lipi unaloliona ni uongo nikupe ushahidi?
Soma hii article utaelewa ninachokusudia.Mkataba wa camp David unasemaje mkuu @ahaha
Soma hii article utaelewa ninachokusudia.
[emoji117]http://bit.ly/2L1TF6g
Alafu tafakari kipindi chote cha Utawala wake Mpaka wa Rafa unaotua ahueni kwa Wananchi wa Palestina kwanini ulibakia Umefungwa? Na Kwanini asitangaze wazi kuvunjilia mbali mkataba huo wa Kinyonyaji, Kidhalimu na Kikoloni unawatesa raia wa Palestina mpaka leo.
Acha propaganda na uwongoWaumini wa madhehebu ya COPTIC Othodox waliuawa sana enzi zake. kumbe kifo hakina chama!
Acha propaganda na uwongo