Makosa makubwa ya wanawake

Makosa makubwa ya wanawake

iphone 18 promax

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2012
Posts
2,915
Reaction score
2,142
Leo nimeona tubadilishane mawazo kama ni kweli
makosa makubwa yanyofanywa na wanawake wengi bila kujua kuwa ni mabaya kabisa
1.Kuonyesha kuwa jamaa hana ujanja kwako
2.kuzungumza mabaya ya mpenzi aliyepita
3.kuwasema vibaya wanawake wenzako
4.mapenzi ya kizungu kwa sana
5.kuamini ngono ni kila kitu.wanawake wengi wanaharibiwa na hisia kwamba wanaume wapo nao kwa ajili ya ngono tu na kwamba siraha kubwa ya mwisho ya mapenzi yao ni kukutana faragha hii si kweli wanaume wanapenda wanawake makini ambao wapo nao kwa ajili ya maisha zaidi wanaowaza mambo ya maisha na siyo ngono
 
Bora yakizungu cku hz 2nataka ya kiphilipino 2kiangalia crz zao 2nataka nayakbongo yawe hvyo
 
1 na 4 noma....ila mwanmke anayetaka kila muda huyo poa bana au
 
MAKOSA YA WANAUME!!!!!!!!!!

1. kUBAHILIA MBESA! Yaani nijingarishe kwa jasho langu sifa upate wewe!? Thubutuuuuuuuuu! USIONE VYAELEA UKAJUA VMEKUFA! VIMEUNDWAA BABU!!!!!!!!!

2. Kutuona wanawake HATUNA AKILI KABISAAAAAA!!!!!!!!! Yaani anakuona SO S.TUPID! Kama apigesimu anavojisikia yeye, uhusano uende ma kusimama anavojisikia yeye! Kosa kubwaa afu anataka asamehewe Kijanja janja. KWA MTONYO UPI? Tumekutana jijini babu hujanitoa kishumundu.

3.Ukimsaidia jambo kipesa basi NDO LISHAKUWA JUKUMU LAKO! Yaani ukilogwa ukabeep kulpia vaccation basi jua vaccation zote zinazofuata na kwa HISANI YAKO! Au ukijishaua kununua vitu vya ndani, jua mwezi ujao lakooooooo hilo! Mi ndo maana naonekanaga bandidu! SIJIGUSI!!!!!!!!

4. Kujiuliza HELA ZANGU NAPELEKA WAPI? We baba zimaa unajuliza hela za mwanamke zinaenda wapi ili IWEJE? Uzifate? Eti kisa na mimi na tuhela tudogo basi ndo unajivuaaa gamba KUNIHUDUMIA na KUNISPOIL!!!!!!!!! Utasaidiwa baba! Shamba liikushinda watalilma wenzio. Ndo maana wanawak tunatega kufanya kazi! Ukipata sh 2 ishakuwa Ishu! UNATOLEWA KWENYE MAIN BUDGET! Unakuta mtu na MBA anabana home analea watoto.

5. KUNUNA MKIZIDIWA KIPATO KUHISI TUNHONGWA NA INFERIORITY COMPLEX! Gunu lako sio langu babu weee! Mja nimepewa niombee mema sio mema angu kwako uone SHUBIRI! Na sisi tumechoka kuwa tegemezi, kujituma ndo mwanafunzi kampita mwalimu, mwalimu kanuna! Yalaaaaaaaaaah!!!!!!!!!! Mwanamke akikuzidi jua tu rizki mafungu 7. Inferiority complex utakufa na pressure na kisukar ilihali anaegawa riziki mwengine.

ALAMSIKI!!!!!!!!!!!!!!!!
 
MAKOSA YA WANAUME!!!!!!!!!!

1. kUBAHILIA MBESA! Yaani nijingarishe kwa jasho langu sifa upate wewe!? Thubutuuuuuuuuu! USIONE VYAELEA UKAJUA VMEKUFA! VIMEUNDWAA BABU!!!!!!!!!

Kweli kabisaaa miss u lara 1
 
Last edited by a moderator:
Duuuuu watu wanaangamia kwenye ndoa kwa kukosa maarifa
1.hela zinazotafutwa kwa watu walioko kwenye ndoa ni sifa ya mtu mmoja au familia kwa ujumla ?kam ni sifa ya mtu mmoja basi hakuna haja ya kuoana na kwa nini watu wanasema kama mwanaume ana mafanikio nyuma yake kuna mwanamke
2.je ni nani aliyesalama kwenye uhusiano kama bila ya kuwa na msamaha ,msamaha kwenye ndoa ndio ngao kubwa sana na sidhani kama kuna mwanamume anasema kuwa wanawake is so stupid
3.eti usiulizwe kisa mmekutana mjini du kweli dunia inamambo kutohoji hela ya mwanamke inaenda wapi ni sawa na mtu kutokuwa na macho na kama hakuna umuhimu wa mwanamke kuulizwa hela yake kwa nini na wewe uulize hela ya mmeo inakusaidia nini wakati ya kwako hutaki ijulikane na ukikuta familia ya namna hivi maendeleo hamna na ndio maana leo nimeamini kuwa kuoana wafanyakazi wote siyo kigezo cha kuwa mtakuwa na maendeleo kuzidi mtu aliyeoa mama wa nyumbani isipokuwa kama mtakuwa na maelewano na kila mmoja anachokipata kiwekwe mezani kifanyiwe maendeleo.
 
MAKOSA YA WANAUME!!!!!!!!!!

1. kUBAHILIA MBESA! Yaani nijingarishe kwa jasho langu sifa upate wewe!? Thubutuuuuuuuuu! USIONE VYAELEA UKAJUA VMEKUFA! VIMEUNDWAA BABU!!!!!!!!!

Kweli kabisaaa miss u lara 1

Ila kumbuka mwanaume Ana Majukumu mengi sio kukule wewe tu kisa Mfereji.
 
Last edited by a moderator:
#3 ndo greatest weakness yetu sisi wanawake


Kiukweli mimi I try to avoid, kwanini nimuongelee mwanamke wenzangu vibaya as if am clean??! Bull.shit!!
 
Lara1 mama maisha sio rahisi ki hvyo na ukiruhusu kuegemea mwenzio unaumiza zaidi coz The End wanawake ndo watu wanaoongoza kuwalaumu wanaume kuhs kuchangia pato la ndani ya nyumba kuliko wao wenyewe kutambua wajibu wao juu ya hlo.
Ni kweli Kwa yote unayoongea ila yaangalie vzr kwa haki na wajibu Love is an xcgange wajibu wako upi my boss
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom