Ivi aliyekua ana chapisha majina ana hasira na na majina kuanzia H nin maana post ya Finance officer grade II kafanya makosa mara 3 majina yanaishia G afu yanaanza upya tena A kwa mwenye taarifa atusaidie
Hivi jamani uhalisia wa kazi hizi upo? maaana uwiano wa nafasi na waombaji balaa, post moja waombaji 2000 ha ha ha ha ha ha ha.......... ama kweli ajira Tanzania ni Kizungu mkuti