Makontena ya mchanga kwenda nje ya nchi: Zitto na Kafumu wachunguzwe

moma2k

JF-Expert Member
Dec 12, 2010
1,091
1,405
Kuna viashiria vya conflict of interest kwa Zitto na Kafumu kama wabunge kuhusu wajibu wao wa kikatiba wa kila mtanzania na hasa mbunge(public officer) wa kutunza na kulinda maliasli za jamuhuri kama ilivyoainishwa ktk Ibara 27 ya Katiba ya nchi yetu(1977).
 
Rais anasema tutachimba tukiwa na akili.Huyu mtu akili yake anaijua mwenyewe.Kafumu na zito hawana kosa lolote serikali yetu kwa kifupi haijielewi.Mambo yanakwenda kwa mihemko....Leo linasemwa hili kesho lile, hakuna dira.Tukubali kwamba Nguvu ya Bashite na Pombe sio ya kumkomboa Mtanzania bali kuongeza idadi ya makaburi kwa kipindi chao chote cha utawala.
 
Kuna viashiria vya conflict of interest kwa Zitto na Kafumu kama wabunge kuhusu wajibu wao wa kikatiba wa kila mtanzania na hasa mbunge(public officer) wa kutunza na kulinda maliasli za jamuhuri kama ilivyoainishwa ktk Ibara 27 ya Katiba ya nchi yetu(1977).
Njoo na habari inayojitosheleza kwa manufaa ya wote.

Ulichoandika hapa ni conclusion ya kile ulichokiona/sikia toka kwa hao watu wawili.
 
Back
Top Bottom