Makongoro Mahanga mwenyekiti mpya CHADEMA mkoa wa Ilala

yegella

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
3,113
1,102
Nimepokea matokeo ya uchaguzi wa CHADEMA mkoa wa Ilala kama ifatavyo..

Matokeo ya uchaguzi nafasi ya Mwenyekiti Mkoa wa Ilala:
1. Makongoro Mahanga 14
2. Adolf Mkono 11
3. Thomas Nyahende 7
4.Wengine wanne kura 0

Matokeo nafasi ya Katibu:
1. Amani Mgheni 13
2. Clemence Kambangwe 09
3. Lilian Masiaga 05
4. Goodluck Kagande 05
5.Lucas Maira 00

Nafasi ya Mwenyekiti kura zikarudiwa kati ya Mahanga na mkono ili mshindi apate 50% plus. Nafasi ya katibu kwakuwa ni mapendekezo hawatarudia kupiga kura japokuwa hakuna aliyevuka 50%

Matokeo round ya pili Mwenyekiti Mkoa wa Ilala:
1.Makongoro Mahanga 23
2. Adolf Mkono 08

CHADEMA itatekeleza demokrasia huku moshi Leo tumeona madikteta wakizuia hata mahafari tu hawajiamini.
 
Wenyeviti wa mikoa mnafanya uchwguzi
Ila kwenye uenyekiti wa chama taifa
Mbowe Mungumtu
Mna lilia DEMOKRASIA hahaha
 
Chadema kishatekwa na mkakati wa lowasa , ha ha uchaguz wa chama nchi nzima wenyeviti wote mikoa,wilaya, kata ,matawi watakuwa wa lowasa na hapo chama kitahama mikononi mwa mtei na mbowe
Ni suala la muda muda tu
Mwanzo mzuri
Kuondoa utawala wa Mungu mtu Mbowe
 
Chadema kishatekwa na mkakati wa lowasa , ha ha uchaguz wa chama nchi nzima wenyeviti wote mikoa,wilaya, kata ,matawi watakuwa wa lowasa na hapo chama kitahama mikononi mwa mtei na mbowe
Ni suala la muda muda tu
sasa wasiwasi wenu CCM ni nini? mbatuhurumia?
 
Wenyeviti wa mikoa mnafanya uchwguzi
Ila kwenye uenyekiti wa chama taifa
Mbowe Mungumtu
Mna lilia DEMOKRASIA hahaha
Fomu za uenyekiti taifa wa CCM zinatolewa wapi? Au hicho kijiti ni cha Arusha?
 
Back
Top Bottom