Makongo high school in crisis to shutdown!

NGALAMU

Member
Joined
Feb 8, 2013
Posts
39
Reaction score
7
Ndugu wanajamvi hii ni hatari kwa taifa na watoto wetu.kufuatia uongozi uliopo madarakani kwa sasa chini ya headmaster col.MWANGASI na wasaidizi wake kufuja pesa mpaka kufikia kushindwa lipa mishahara na posho za walimu,mpaka leo tar.9/11/2013 walimu raia na askari hawajalipwa mishahara ya october.Hivyo walimu wako katika mgomo usio rasmi na walimu toka alhamisi na ijumaa wako katika vikao visivyo isha hivyo kupelekea wanafunzi wa kidato cha sita,tano,tatu na kwanza kukosa masomo! cha kujiuliza ada zimelipwa? jibu ni ndio,kwa mkataba wa kazi hii shule ni mali ya JWTZ na mmiliki ni CHIEF OF DEFENCE FORCE(CDF)(GEN.DAVIS MWAMNYANGE) je anajua haya? kama ufisadi mpaka jwtz where is patriotism to these guys?_source;NIPO NDANI YA TUKIO
 
mnatusikitisha sisi Alimina, Col.IDDY KIPINGU na kina mama MOSHA na Meg.KISALIKA walikuwa wanafanyaje Enzi za utawala wao kiasi cha shule kufikia hatua hiyo ya kushindwa kulipa mishahara ya walimu? Mjitafakari rudisheni hadhi ya Makongo, kipindi chetu kulikuwa hakuna zero wala Div V, lakini leo Zero=Div V zinafika 200, hii si shule tena ndo maana walimu hawafundidhi! Jifunzeni kwa kina Col.KIPINGU wawe washauri wa shule
 
hii shule ilipotea toka alipoondoka luteni kanali kipingu hadi sasa haijarudi kwenye fomu pole zao wanafunzi wasiojielewa..
 
Ndugu wanajamvi hii ni hatari kwa taifa na watoto wetu.kufuatia uongozi uliopo madarakani kwa sasa chini ya headmaster col.MWANGASI na wasaidizi wake kufuja pesa mpaka kufikia kushindwa lipa mishahara na posho za walimu,mpaka leo tar.9/11/2013 walimu raia na askari hawajalipwa mishahara ya october.Hivyo walimu wako katika mgomo usio rasmi na walimu toka alhamisi na ijumaa wako katika vikao visivyo isha hivyo kupelekea wanafunzi wa kidato cha sita,tano,tatu na kwanza kukosa masomo! cha kujiuliza ada zimelipwa? jibu ni ndio,kwa mkataba wa kazi hii shule ni mali ya JWTZ na mmiliki ni CHIEF OF DEFENCE FORCE(CDF)(GEN.DAVIS MWAMNYANGE) je anajua haya? kama ufisadi mpaka jwtz where is patriotism to these guys?_source;NIPO NDANI YA TUKIO

Mimi nimefundisha hapo mwaka 1992 hadi 1995. Mshahara wangu nilikuwa naupata kila tarehe 20 ya mwezi niliofanya kazi. Poleni.
 
mnatusikitisha sisi Alimina, Col.IDDY KIPINGU na kina mama MOSHA na Meg.KISALIKA walikuwa wanafanyaje Enzi za utawala wao kiasi cha shule kufikia hatua hiyo ya kushindwa kulipa mishahara ya walimu? Mjitafakari rudisheni hadhi ya Makongo, kipindi chetu kulikuwa hakuna zero wala Div V, lakini leo Zero=Div V zinafika 200, hii si shule tena ndo maana walimu hawafundidhi! Jifunzeni kwa kina Col.KIPINGU wawe washauri wa shule

Wanafunzi wengi wanao uwezo duni sana, jamaa za Dogo Janja, je unatarajia ufaulu? Uongozi wa juu unaoongoza kwa nyingi za kufanya ngono na wanafunzi wa kike. Mamlaka ya uongozi hayaojiwi kwenye vikao, je unatarajia ufanisi?
 
Enzi hizo Makongo ikiwa shule.
Kanali Iddi omari kipingu,
Meja Banda
Meja Yeyeye
Captain Kisarika
Meja Longlway
Mama kihurule
Mama Mosha.
 
Enzi hizo Makongo ikiwa shule.
Kanali Iddi omari kipingu,
Meja Banda
Meja Yeyeye
Captain Kisarika
Meja Longlway
Mama kihurule
Mama Mosha.

Wewe inaelekea umesoma pale kipindi na namimi nasoma, umenikumbusha mbali sana umewasahau hawa,
Master mayebe
Robi mwita (RIP)
Mama Mchwampaka
Afande miraji (RIP)
Babu chacha
chinga na Siso (wauza mihogo)

Enzi hizo ukipata average below 50% unarudi kwenu sijui utaratibu huu kama bado upo.
 
Mimi nimefundisha hapo mwaka 1992 hadi 1995. Mshahara wangu nilikuwa naupata kila tarehe 20 ya mwezi niliofanya kazi. Poleni.

Wewe Kama Siyo Mtani Wangu MHAYA Sijui! Kwa Misifa na Mikogo........................................Hamjambo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom