neno 'nyuma' ndio neno linaloongoza kwa kutamkwa na makondakta wa daladala. utafiti unaonesha kuwa, jijini dar es salaam, kwa wastani, kondakta mmoja hutamka neno 'nyuma' takribani mara 833 kwa siku. hii inatokana na kupanga watu kwenye gari. lakini kuibuka kwa daladala zenye milango miwili (nyuma na mbele) kunasemekana kutapunguza matumizi ya neno hilo kwani inakuwa ni vigumu kwa makondakta wote wawili kurudisha watu nyuma na badala yake neno 'kati' litachkua nafasi.
chanzo: ------
Milango miwili na hata mitatu kwa mabasi ya abiria yana matumizi yake... Mlango wa mbele ni wa kupandia na mlango wa nyuma ni wa kushukia.. Hivyo neno "nyuma" bado litakuwa linatumikaidoyo said:lakini kuibuka kwa daladala zenye milango miwili (nyuma na mbele) kunasemekana kutapunguza matumizi ya neno hilo kwani inakuwa ni vigumu kwa makondakta wote wawili kurudisha watu nyuma na badala yake neno 'kati' litachkua nafasi.