Makonda: Zitto amenisaidia sana kuelewa siasa

Interest

JF-Expert Member
Apr 11, 2015
3,434
7,072
Mkuu wa Mkoa wa Dsm, Paul Makonda akiwa kwenye interview amesema Mbunge wa Kigoma Mjini(ACT) ndiye Mbunge anayemsaidia kuelewa siasa.

Afafanua kuwa, Zitto anajua kujenga hoja za kuiyumbisha serikali hasa kwenye kusimamia mambo mbalimbali yenye maslahi ya kitaifa.

Aoneshe vyeti kwanza, na aseme kwanini alienda kuvamia clouds kwa nia ya kumchafua Mchungaji. Hivi wale masheikh na maaskofu walikua wanamuombea kusingizia watu??? Haiwezekani leo umuombee mtu kesho akatengeneze kashfa ya uongo ili kumchafua mtu.
 
Hiyo ni charm offensive kumlainisha Zitto asimsulubu bungeni!
Makonda akitaka kitu kwa mtu anajua kweli kumsifia, Zamani aliwasifia Nape na Kinana, Then akawa anamsifia JPM sana, Sasa kaona Mziki wa bungeni unamsubiri kaanza kuwasifia kina Zitto!
Zitto usidanganyike, mpe za ukweli huyu kijana!
 
Mkuu wa Mkoa wa Dsm, Paul Makonda akiwa kwenye interview amesema Mbunge wa Kigoma Mjini(ACT) ndiye Mbunge anayemsaidia kuelewa siasa.

Afafanua kuwa, Zitto anajua kujenga hoja za kuiyumbisha serikali hasa kwenye kusimamia mambo mbalimbali yenye maslahi ya kitaifa.

Shuleni aliibia majibu akapiga bashite, akanunua cheti wamemtambua kumbe na kujenga hoja aliiba kwa Zitto?
 
Kwahiyo Zitto pia kamfundisha kufoji vyeti na kufanya uvamizi ktk ofisi za watu
 
Hiyo ni charm offensive kumlainisha Zitto asimsulubu bungeni!
Makonda akitaka kitu kwa mtu anajua kweli kumsifia, Zamani aliwasifia Nape na Kinana, Then akawa anamsifia JPM sana, Sasa kaona Mziki wa bungeni unamsubiri kaanza kuwasifia kina Zitto!
Zitto usidanganyike, mpe za ukweli huyu kijana!
Hapana mkuu hiyo kitambo sana, wala siyo ya leo
 
Back
Top Bottom