Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,097
- 53,481
Imebaki takribani miaka mitatu ufike uchaguzi mkuu wa urais, wabunge na madiwani.
Imebaki miaka miwili uchaguzi wa serikali za mitaa uwadie.
Kama mnavyokumbuka uchaguzi mkuu wa 2010 na 2015 mikoa ya Arusha na Dar es Salaam iliwasumbua sana CCM.
Hapo ndo Makonda na Gambo wanaingia.
Hakuna mtu alie crazy enough wa kuvuruga uchaguzi mkuu kwa mikoa hii miwili kama hawa watu hasa kama CCM wanashindwa.
Hasa Makonda kwa mkoa wa Dar. Magufuli anataka kupata majimbo yote ya Dar kwa jasho na damu hata kutumia jeshi.
Natabiri uchaguzi wa Dar utarudiwa baada ya mikoa mingine yote kupiga kura. Ili nguvu na akili ziwekezwe Dar.
Ukimuondoa sasa hivi ni kuharibu mipango ya mkulu.
*Maoni Yangu*