Makonda nimekusikia sana sauti yako katika tukio la ufunguzi wa reli ya kisasa(standard gauge) hapo Pugu. Ulikuwa unasema kwa kujiamini na unatamba sana eti wewe hutishiki na mtu yoyote, sawa hutishiki. Hutishiki kwa sababu mkuu wa kaya kakukumbatia, kwani akikuachia kwa maana akupokonye vimadaraka hivyo alivyokupatia hutosema tena kwa kujidai kama ulivyokuwa unasema leo.
ASETABAHU.
ASETABAHU.