Makonda, onesha Vyeti vyako halali wanaokutuhumu waaibike

Mungu anamtambua kwa jina lake la ubatizo Daudi Albert Bashite hata tukitaka kumwombea tumwombee kwa jina hili lakini tukimwombea kwa jina la Paul Makonda anayebarikiwa ni yule mtangazaji wa Tabora
Ah ah ah!baraka zinaenda kwa mtu mwingine
 
Mimi bado nailaumu familia ya msoga ni kwanini huyu bwana walilitoa jina la Lowassa kisa shemejie wa mtama? Hii ndio iliingiza hasira ndipo ccm ikapata mental paralysis na kumchagua asiyefaa huku wakijua? Sasa taxama linchi halijapata jema na budget inaenda mwisho halafu bado Mzee wa mzoga no msoga anapenyeza figisu kupitia utawala huu kumbana lowassa asiweze kufanya siasa kupitia kufungia mikutano ya hadhara, Sasa serikali hii inawaza vyama badala ya maendeleo hakika huu utawala umeshafitinika hauna uhai tena subiri 2020 na naomba Lowassa ugombee uone wale jamaa wa msoga watakavyougua matetekuanga
Ama kweli nyani aoni kundule; wale walomchafua EL leo wanasema sio wao ila JK. Mungu anaujua mpango wenu na hautafanikiwa kamwe. kama ulikua hujui "Mungu ni mwema".
 
Kuna viongozi wakubwa serikalini wenye elimu kubwa na vyeti vizuri lakini linapokuja suala la utendaji kazi ni sifuri, uwajibikaji ni mbovu, hata kama ikibainika ni kweli makonda alitumia vyeti feki bado wananchi tunamuhitaji sana especially kwenye kipindi kama hiki,makonda amefanya mambo makubwa na magumu ambayo viongozi hao mnaosema wasomi wa vyeti original hawakuvifanya, makonda ni kijana jasiri na mwenye uthubutu,Tanzania tunahitaji kiongozi kama makonda, Mungu ana makusudi kutuletea makonda,nyie endeleeni kupiga makelele but still makonda ataendelea kuwa makonda.

Na gwajima kama unadai una vyeti vya makonda kabla haujavitoa hadharani tunakuomba mtumishi wa Mungu utuonyeshee vyeti vyako na wewe ulivyosomea uchungaji,hapo utakua umefuta mzizi wa fitina.
Kwa hiyo warumi unatuaminisha kumba wale woote waliofukwazwa kwa kukosa sifa ya kuwa wafanyakazi kwa kukosa sifa au vyeti husika nao warudi makazini onl in Tanzania
 
Kuna viongozi wakubwa serikalini wenye elimu kubwa na vyeti vizuri lakini linapokuja suala la utendaji kazi ni sifuri, uwajibikaji ni mbovu, hata kama ikibainika ni kweli makonda alitumia vyeti feki bado wananchi tunamuhitaji sana especially kwenye kipindi kama hiki,makonda amefanya mambo makubwa na magumu ambayo viongozi hao mnaosema wasomi wa vyeti original hawakuvifanya, makonda ni kijana jasiri na mwenye uthubutu,Tanzania tunahitaji kiongozi kama makonda, Mungu ana makusudi kutuletea makonda,nyie endeleeni kupiga makelele but still makonda ataendelea kuwa makonda.

Na gwajima kama unadai una vyeti vya makonda kabla haujavitoa hadharani tunakuomba mtumishi wa Mungu utuonyeshee vyeti vyako na wewe ulivyosomea uchungaji,hapo utakua umefuta mzizi wa fitina.
Mkuu leo umepatwa na nini mpaka umekuja hili jukwaa mbali na celebrities forum?
 
Back
Top Bottom