Makonda, onesha Vyeti vyako halali wanaokutuhumu waaibike

Wewe baki na fani ya umbea hatutaki double standard kuna walimu,manesi,mamesenja kibao wamefukuzwa kazi kwa kuwa na vyeti feki na wengi walikua wanafanya kazi zao vizuri tu tena kuna baadhi wamepiga kazi more than 10 yrs kwa nini kuwe na upekee kwenye issue hii
 
Uchungaji nini? Ulizia kule marekani kama wachungaji wanajipachika tu kama huku mtu akilala akiamka mchungaji, wamejaa utapeli, wizi na umalaya

Before commenting about makonda, tuonyesheni kwanza hivyo vyeti feki acheni kupiga makelele kama wanawake wa kimakonde, shukrani, no evidence no right to speak
Acha kutetea upuuzi ww nafasi za wasomi wakae wasomi 2 huo ujinga wa kujuana hatuutaki
 
Uchungaji nini? Ulizia kule marekani kama wachungaji wanajipachika tu kama huku mtu akilala akiamka mchungaji, wamejaa utapeli, wizi na umalaya

Before commenting about makonda, tuonyesheni kwanza hivyo vyeti feki acheni kupiga makelele kama wanawake wa kimakonde, shukrani, no evidence no right to speak
Mbona matusi kaka,au ndo wewe???
 
Nakuomba sana ili hawa wauza unga ili waaibike onesha adharani vyeti vyako feki au wafungulie mashtaka kwa kukudhalilisha....Fanya hivyo kupunguza kelele ili uendelee kupambana na wauza unga....
Ukishindwa kufanya hivyo nenda kwa siri waombe msamaha watu hawa
1. Gwajima
2. Manji
3. Mbowe
4. Wema
5. Warioba
6. Lowasa
7. Kasimu Majariwa
8. Bunge

Ukishindwa kufanya hivyo andika barua jiuzuru ukuu wa mkoa nenda kijijini kalima au kasimamie biashara zako...achana na siasa..
Kwanini iwe kwa siri, wakati yeye alifanya uchi kabisa.....
 
Magufuli ndo kaingia kwenye 18 za watanzania

Alisema hatak vilaza

Haya kilaza huyo keshapatkana

Mungu huwaumbua wanafk mchana kweupee

Hapa mi nikuona

Km kweli Ngosha.. Is walking the talk
 
Nakuomba sana ili hawa wauza unga ili waaibike onesha adharani vyeti vyako feki au wafungulie mashtaka kwa kukudhalilisha....Fanya hivyo kupunguza kelele ili uendelee kupambana na wauza unga....
Ukishindwa kufanya hivyo nenda kwa siri waombe msamaha watu hawa
1. Gwajima
2. Manji
3. Mbowe
4. Wema
5. Warioba
6. Lowasa
7. Kasimu Majariwa
8. Bunge

Ukishindwa kufanya hivyo andika barua jiuzuru ukuu wa mkoa nenda kijijini kalima au kasimamie biashara zako...achana na siasa..
Mmmmmmh yote mazito hayo,avae moyo wa kiume haswaaaa
 
JAMANI HIVI WATANZANIA MUMEKUMBWA NA NINI?..CHETI CHA MAKONDA WEWE MWANANCHI WA KAWAIDA KULE KARUME AU TANDIKA KINAKUHUSU NINI?KINAKUSAIDIA NINI?

NA MIMI HAPA NAONGEA MH.RAISI KAMA ATAIONA COMENT YANGU....ASICHUKUE HATUA YOYOTE DHIDI YA MH.MKUU WA MKOA KWA NI UKISIKIA KOOO UJUE LIMEMPATA..NASEMA HIVI KWA SABABU WALIKUWA WAPI MUDA WOTE WASIJE NA HOJA YA VYETI VYA MAKONDA HADI AMEANZA MAPAMBANO YA MADAWA NDO WANAMZUNGUKA...MH.RAISI SISI WANANCH WA KAWAIDA (TUSIO WAUZA MADAWA) NDIYO TULIOKUCHAGUA TUNAOMBA UCHAPE KAZI IKIWEZEKANA UMPROMOTE MH.RC JUU ZAIDI ILI AWEZE KUPAMBANA NA HAWA JAMAA WAMESHIKWA PABAYA NDO MAANA WANAKIMBILIA VYETI

MH.RAISI..NAPENDA NKUELEZE UKWELI SIYO IDADI KUBWA HIYO YA WATANZANIA WANAPIGA KELELE DHIDI YA VYETI VYA MAKONDA ILA KINACHOTOKEA NI HAWA WAHUSUSIKA WA MADAWA KUTUMIA KIASI KIKUBWA CHA FEDHA KWENYE MEDIA ILI MRADI WAVUMISHE SUALA HILI ILA MH.RAISI USIWASIKILIZE WAFA MAJI.
 
Back
Top Bottom