Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,418
- 1,278
Hints kuhusu Makonda:-
(a). Anachukia dhuruma
(b). Anachukia watu wanaofanyakazi kwa mazoea
(c). Anapenda CDM waje CCM kuijenga nchi
(d). Ni mwalimu mwema kwa CCM, CDM na vyama vyote nchini,
(e). Amewakata pumzi viongozi wa upinzani waliokuwa hatari kisiasa i.e Lissu, Mrema, Mnyika, Zitto, Mbowe, nk
Taifa tumevhoka kuchezewa "majibu ya changamoto zetu siku zote tutayapata CCM na si CDM aka watoa taarifa.
Nzengeli wa Kakonko
Jina dhuluma lenyewe limemshinda kuandika huyu chawa
Hiki ulichokiandika hapa ni 🚮 kwa 💯%Hints kuhusu Makonda:-
(a). Anachukia dhuruma
(b). Anachukia watu wanaofanyakazi kwa mazoea
(c). Anapenda CDM waje CCM kuijenga nchi
(d). Ni mwalimu mwema kwa CCM, CDM na vyama vyote nchini,
(e). Amewakata pumzi viongozi wa upinzani waliokuwa hatari kisiasa i.e Lissu, Mrema, Mnyika, Zitto, Mbowe, nk
Taifa tumevhoka kuchezewa "majibu ya changamoto zetu siku zote tutayapata CCM na si CDM aka watoa taarifa.
Nzengeli wa Kakonko
Hints kuhusu Makonda:-
(a). Anachukia dhuruma
(b). Anachukia watu wanaofanyakazi kwa mazoea
(c). Anapenda CDM waje CCM kuijenga nchi
(d). Ni mwalimu mwema kwa CCM, CDM na vyama vyote nchini,
(e). Amewakata pumzi viongozi wa upinzani waliokuwa hatari kisiasa i.e Lissu, Mrema, Mnyika, Zitto, Mbowe, nk
Taifa tumevhoka kuchezewa "majibu ya changamoto zetu siku zote tutayapata CCM na si CDM aka watoa taarifa.
Nzengeli wa Kakonko
Makonda amevuruga ziara fake za Mbowe ambaye alizianza Kwa mbwembwe na kuwananga Akina mwabukusi na slaaHints kuhusu Makonda:-
(a). Anachukia dhuruma
(b). Anachukia watu wanaofanyakazi kwa mazoea
(c). Anapenda CDM waje CCM kuijenga nchi
(d). Ni mwalimu mwema kwa CCM, CDM na vyama vyote nchini,
(e). Amewakata pumzi viongozi wa upinzani waliokuwa hatari kisiasa i.e Lissu, Mrema, Mnyika, Zitto, Mbowe, nk
Taifa tumevhoka kuchezewa "majibu ya changamoto zetu siku zote tutayapata CCM na si CDM aka watoa taarifa.
Nzengeli wa Kakonko
Si urudi tu Burundi ukafanye Siasa huko kwenu acheni kuiba majina ya Kisukuma.Anachukia dhuruma
Kabende wewe ni Hafidh Konkon wa Kakonko... Taifa mmechoka kuchezewa na nani!? CHADEMA😁Yaani mnajitekenya na kucheka Kwa jasho! Wewe kama Mtumishi wa Umma Mwandamizi , unashangilia jinsi Watanzania wanavyopumbazwa na approach za utatuzi wa changamoto za Makonda! Hiki ndicho Prof. Chachaghe alikiita Collective Imbecilization ... Yaani hata wasomi wameingizwa kwenye huu Uchawa....!Hints kuhusu Makonda:-
(a). Anachukia dhuruma
(b). Anachukia watu wanaofanyakazi kwa mazoea
(c). Anapenda CDM waje CCM kuijenga nchi
(d). Ni mwalimu mwema kwa CCM, CDM na vyama vyote nchini,
(e). Amewakata pumzi viongozi wa upinzani waliokuwa hatari kisiasa i.e Lissu, Mrema, Mnyika, Zitto, Mbowe, nk
Taifa tumevhoka kuchezewa "majibu ya changamoto zetu siku zote tutayapata CCM na si CDM aka watoa taarifa.
Nzengeli wa Kakonko
Makonda kawapoteza kwelikweli!! Jf yote inamzungumzia MakondaJina dhuluma lenyewe limemshinda kuandika huyu chawa
Kampoteza mumeo pekeeMakonda kawapoteza kwelikweli!! Jf yote inamzungumzia Makonda
Namfahamu tangu akiwa mdogo mi nilipokiwa nafanya kazi UN kule Kigoma na Katavi. Kuna kipindi alikiwa anaishi kambi ya Wakimbizi Mishamo kule katavi. Ni mkimbizi huyo japo anajiita Muha na sasa yupo Kakonko. Kuna kipindi alikuwa anajifanya kulima maparachichi kule kigoma. Hana lolote anatafuta Kiki na kujulikana tu huyu.Si urudi tu Burundi ukafanye Siasa huko kwenu acheni kuiba majina ya Kisukuma.
🤣🤣🤣🎤🔊Hints kuhusu Makonda:-
(a). Anachukia dhuruma
(b). Anachukia watu wanaofanyakazi kwa mazoea
(c). Anapenda CDM waje CCM kuijenga nchi
(d). Ni mwalimu mwema kwa CCM, CDM na vyama vyote nchini,
(e). Amewakata pumzi viongozi wa upinzani waliokuwa hatari kisiasa i.e Lissu, Mrema, Mnyika, Zitto, Mbowe, nk
Taifa tumevhoka kuchezewa "majibu ya changamoto zetu siku zote tutayapata CCM na si CDM aka watoa taarifa.
Nzengeli wa Kakonko
Ccm mmekuwa watawala miaka yote, kama kuna aliyechezea taifa hawezi kuwa mwingine zaidi ya Ccm.Taifa tumevhoka kuchezewa "majibu ya changamoto zetu siku zote tutayapata CCM na si CDM aka watoa taarifa.
Ccm imejaza wajinga ndio maana mnaona makonda/bashite kwenu ni dili, muulize huyo Makonda toka aanze maigizo yake kwanini umeme kila siku unakatika, kwanini bei ya sukari iko juu, kwanini akina mama wanaenda na vifaa vya kujifungulia hospital.Hints kuhusu Makonda:-
(a). Anachukia dhuruma
(b). Anachukia watu wanaofanyakazi kwa mazoea
(c). Anapenda CDM waje CCM kuijenga nchi
(d). Ni mwalimu mwema kwa CCM, CDM na vyama vyote nchini,
(e). Amewakata pumzi viongozi wa upinzani waliokuwa hatari kisiasa i.e Lissu, Mrema, Mnyika, Zitto, Mbowe, nk
Taifa tumevhoka kuchezewa "majibu ya changamoto zetu siku zote tutayapata CCM na si CDM aka watoa taarifa.
Nzengeli wa Kakonko
Makonda ni mkwepa kodi, ushahidi anao Dkt Philip Mpango.Hints kuhusu Makonda:-