Ndikwega
R I P
- Feb 1, 2012
- 5,979
- 5,527
Tulikushauri toka mwanzo kuwa umeingia kichwa kichwa katika uongozi wako, ukatupuuza hukutaka kusikia la kulia, kusho, mbele wala nyuma. Kuna watu Dunia hii hawaonewi kama unavyoenea wengine, aaah mimi nipo na Mwenye Nchi. Haya hayo sasa, aibu hata kuonekana mbele ya Jamii.
Kwa Taarifa yako hata huyo Unayeamini ndiye yupo Nyuma yako, naye Kachokwa hatari, watu wanavumilia tu kwa Vile Ndiyo mwenye Mbwa, anaweza kukuitia mbwa wakati wowote ukiamua kumtolea uvivu, japo itafika kipindi itakuwa haina msaada.
Kama unabisha, angalia alivyojihami. Bungeni kampeleka yule mwanamke kuhakikisha kila jambp linakuwa chini yake, Jeshini tayari kamuweka wa Kukaya kwa kukosa imani na Jaji Mkuu ndiyo kamkaimisha ndugu yetu yule. Yoote haya ni kuonesha Jinsi gani anaogopa Nguvu ya Upande wa Pili. Na Ndiyo maana Mahakamani zimejaa kesi za shutuma juu yake aidha kumkashfu ama eti kumtusi. Anajenga mazingira ya Kuogopwa "Defensive Mechanism", bahati Mbaya wewe ndiyo yamekukuta maana huna Kinga wala vifaru kama yeye. Pole.
Ulimuonea Mzee Mamvi, Ukadhni wote wapo hivyo, lah hasha kuna vichwa maji kuliko unavyodhani. Tambua, Dunia ni watu, bila watu si Dunia tena, na hawa watu wapo unaowapenda na usiowapenda. Ukishajua hiyo kanuni hakika utaishi maisha ya Raha saana na utaona uzuri wa Dunia.Kinyume na hapo, hata Ukajifiche wapi bado Utaone walimwengu wamekuonea na hutaona Raha ya kuwepo hapa Tena.
Nadhani hili ni fundisho hata kwa wengine, waliyojiaminisha wana uwezo Zaidi ya Jamii yote. Achana na Mikakati ya Kuuwa Upinzania wakati ndiyo Umewapa ulaji huo hapo Mlipo na Mzee wako.