Ndugu wa Tz na wanamabadiliko ndani ya Tz, nimeanza na hili swali ikiwa mh makonda ambaye ni mkuu wa mkoa wa Dsm kama hakuanza vibaya. Nionavyo mimi kwakweli Makonda haja anza vizuri hasa ukizingatia kwamba kauli ya rais wetu hapa kazi nasio kunywa na kula nakufurahia. Ktk taifa ambalo watu wake wanakipato cha chini huku wakiwa na changamoto nyingi za kimaendeleo mh Makonda ilimpasa kutafakari kabla yakukubali mualiko wa wasanii ambao ukiangalia wala sio wote wa mkoa wa Dsm.
Hili linamanisha nini kwetu tulio wachache ambao baada ya makelele mengi ktk mtandao tukitaka vijana pata nafasi za juu ila wengine tukisema sii kweli kuwa vijana hawapewi nafasi ila ujana una shida zake ktk uongoz hasa pale mteuliwa hata tambua hisia na maisha ya anao waongoza.
Mh Makonda ukiacha vijana wengine ktk serikal ya Magufuli wewe umekuwa kijana wa mfano ambaye unaweza kuleta mabadiliko ktk siasa za taifa hili ikiwa tu utaona mambo ktk maono ya mbali.
Mh Makonda kutokana na maelezo hapo juu mimi kama mwana harakati na mzalendo wa taifa hili nilitegemea ukuu wa mkoa utaupokea ktk hali yakuogopa hasa ukijuwa yakuwa changamot zilizo mbele yako sio rahisi na kama kweli utafanya kazi vile mh rais anataka kwakweli hakuna chakufurahia.
Jambo lingine ambalo kuliangalia ama kukumbuka ni tabia ya alie kuchaguwa kutopenda tafrija na sherehe zakupöngezana akitumia nafasi alio nayo kupeleka pesa za masherehe na tafrija kwenye wodi za wakina mama na ma hosp. Kwakweli kale katafrija japo kadogo ila kwa mzee angefurah kuona unapeleka kwa mayatima kama shukrani.
Ushauri wangu kwako kama ulivyo unganishwa na ile thread yako yakukupongeza. Ningekushauri kuanzia sasa nakuendelea kutopendelea mialiko yakukupongeza na badala yake fanya vile alie kuchaguwa anataka nyota yako itang'aa zaidi nakuleta neema kwa vijana wengi. Sisi ni taifa moja chini ya Mungu mmoja na lugha moja Daima.