Si Jambo baya ulilolitangazia taifa juu ya offer unayotaka kuitoa dhidi ya timu yako ya taifa ila Kuna vitu ulipaswa kufanya na sio uo utaratibu ulioutangazia Uma
1) Ulipaswa kuwapa poso wachezaji na offer ya nusu Bei mashabiki
2) Unatakiwa kujua awachezi shabiki ila ni wachezaji motisha ulipaswa kuwapa wao ujifunzi kwa Simba mbna wanafanya vyema na mashabiki awapewi offer ya nusu Bei
3) Mechi itaisha usiku na ikitokea tukashinda watu wakaendalewa unadhani Nini kitatokea maana wahuni wote watahamia uko unadhani nguvu ya polisi ni kubwa kuliko hao walevi watakao kuja kulewa nusu Bei
4) Nadhani alipaswa kutafakali kwa kina juu ya kauli yake otherwise awe anatafuta kiki watu wajae tushinde tu na maisha mengine yaendelee maana bila ivo atakuwa anaendeleza utoto ambao aliwa kuutenda hapo nyuma na kuishia kudhalilika
Sent using
Jamii Forums mobile app