N nyawimar New Member Joined Jun 7, 2023 Posts 1 Reaction score 1 Jan 31, 2024 #1 Hivi karibu mwenezi alishajaribu kuuliza kero za Jiji la Dar maana mwendokasi ni shidaa, Barbara za mitaani ni Majanga, watu wengi huduma za afya hazitoshi, mimi naona azunguke tu mwenyewe bila chawa aone mambo
Hivi karibu mwenezi alishajaribu kuuliza kero za Jiji la Dar maana mwendokasi ni shidaa, Barbara za mitaani ni Majanga, watu wengi huduma za afya hazitoshi, mimi naona azunguke tu mwenyewe bila chawa aone mambo